Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kwema wakuu naomba mwenye past papers za advanced physics 2023 na 2024 na practical zake anisaidie
0 Reactions
3 Replies
513 Views
Picha: Pinterest Upendo wa mwalimu si kumfundisha mtoto tu bali hata kulinda heshima na hisia za mtoto kwa kuweka siri au faragha za wazazi wake. Usitumie makosa ya mtoto na kufananisha na...
0 Reactions
1 Replies
370 Views
Niliomba chuo(TIA) na kupata nafasi. Aidha nilipangiwa campus ya Mwanza. Nimefika kwa ajili ya Udahili naambiwa nimepangiwa chuo kimakosa, kozi hiyo haipo kwa hapa Mwanza natakiwa niende Dar es...
0 Reactions
1 Replies
419 Views
Mtumishi akienda kujiendeleza katika fani nyengine akirudi anafanyiwa re- categorization maana yake anahama na mshahara uleule au inakuaje? na kwanni halamashaur zinakataa kutoa ruhusa mtumishi...
0 Reactions
3 Replies
375 Views
Habari ndugu, Naomba kujua maana ya terminology hio CREDIT NOTE inatumika sana upande wa manunuzi procurement. Naomba mwenye kujua anijuze tafadhari
1 Reactions
4 Replies
847 Views
Naombeni msaada wakubwa zangu mimi nampango wa kuhama chuo na mdahuohuo ni badili na kozi i.e kutoka DUCE kwenda udsm. 1: Je, inawezekana? 2: Changamoto zake ni zipi? 3: Je, inabi mchakato uanze...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Baadhi ya watu wamekuwa wakiuliza kuhusu Veta na jinsi gani wana toa elimu au wengine wana amini veta ni sehemu ya watu walio feli. Veta wanatoa kozi mbali za mda mfupi na za mda mrefu kulingana...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Dear all, naombeni msaada ni hatua gani za kufuata endapo utapoteza vyeti vya taaluma, kuanzia cha kuzaliwa, SCEE, ACSEE na Professional certificates... Vinahitajika na muajiri
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wanazengo mmeamkaje Kijana wenu nimepata changamoto kidogo nimepoteza bahasha yangu yenye vyeti vyangu na kiukweli sijui nime misplace wapi bahasha ilikua na cheti cha form original ila...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mdogo wangu amechelewa kufanya application ya chuo. Anaweza pata admission chuo chocolate?
1 Reactions
4 Replies
362 Views
Habari zenu Wakuu Bodi ya mikopo leo imeanza kuallocate mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo kutoka vyuo mbali mbali Inafahamika kwamba allocation ilivyokuwa mwaka jana mtu aliyepata...
7 Reactions
88 Replies
4K Views
Wakati mabillioni ya nyota zilizo sambaa angani kwenye galaxy ya mlky way linapatikana JUA ambalo ndio muhimili wa mfumo wetu wa jua (Solar system). jua letu limetengenezwa takribani miaka...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Kamaliza form six HGL kapata 2 ya 12 kaomba chuo kakosa tumeamua kubahatisha kwa vyuo hivi je ni vizuri? 1)Muccobs 2) stephano memorial 3) Cdti tengeru arusha.. Na kozi ipi nzuri Kati ya hizi _...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Anaeelewa kuhusu hili swala aje anitoe tongo tongo machoni. Nipo njia panda kujua ukweli juu ya hili. Karibuni wataalam.
3 Reactions
31 Replies
7K Views
Inaonesha dhahiri alielewa ni kipi kinacho maanishwa katika hilo swali, ila changamoto ikaja hapo kwenye kutetea hoja zake..
6 Reactions
37 Replies
5K Views
Wana JF naombeni kujuzwa nina ndugu yangu ameomba mkopo wa kujiendeleza na elimu wakati selection ya kwanza inatoka account yake ilikuwa inaleta ( your application has been submited successful )...
1 Reactions
1 Replies
492 Views
wakuu.. hatuelewi na serikali hii' vijana wengi wameandikiwa NO APROVED ALLOCATION na vyuo vimefunguliwa tayari... hili ni janga
4 Reactions
3 Replies
435 Views
Kwenye kutengeneza akaunti ya ARIS naulizwa registration number naweka ya mtihani inakataa
0 Reactions
22 Replies
13K Views
Back
Top Bottom