Hiyo program kama anahitaji ABC awasiliane nami. Nipo 2nd year. Mwambie tunamkaribisha sana... aje afurahie mapindi ya Masinda[emoji63] [emoji63] [emoji63]Asante sana mkuu wangu
Ni BA Tourism and Cultural Heritage (bonge la degree program) by the way Mimi sio mzungu [emoji63] [emoji63] [emoji63] .amechaguliwa cultural heritage ....kuna course zingne kumbe zinasomwa na wabongo mie nilidhan za wazungu tu
Sodoka Ndugu umechaguliwa wapiamechaguliwa cultural heritage ....kuna course zingne kumbe zinasomwa na wabongo mie nilidhan za wazungu tu