Nimechaguliwa vyuo viwili tofauti, nifanyeje?

Nimechaguliwa vyuo viwili tofauti, nifanyeje?

IDDI SHAFII

Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
37
Reaction score
8
habari . naomben ushauri wenu ,round ya kwanza niliomba TCU UDSM, DUCE,MUCE, UDOM Nikakosa , round ya pili cjaomba tcu nilienda MUM kuomba chuo direct mum wakanichagua , jana tcu wameonesha vyuo na faculty tulizochaguliwa .nimeangalia TCU wamenichagua UDOM bach of arts with education. naomben ushauri mm nataka UDOM je itakuwaje nimechaguliw vyuo viwili
 
MUM unaomba chuon direct halaf majina yanapelekwa TCU kupitishwa
 
ulichochaguliwa na tcu ndio chuo cha kwenda hakuna chuo kinachoruhusiwa kudahili direct kama uliwapa pesa waambie warudishe.
 
tcu ndio wanapeleka majina vyuoni na si chuo kuwapekekea majina tcu.
 
Back
Top Bottom