KUPATWA KWA HESLB

kabwekasoma

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
260
153
Wadau hii imekaaaje mpaka vyuo vya serikali vinafunguliwa hawaja release majina ya wanafuzi waliopata mikopo? Maanake hii haijawahi kutokea au ndo kusema hawana hela nini? Daah bodi ya mikopo kuna haja ya kuireform na kuinganisha na Tcu kwani wao wanaanza kufungua mapema lakini wanachelewa kutoa maombi
 
Ndo ukaamua kuattach huo ujinga ambao hauendani na mada
 
Wadau hii imekaaaje mpaka vyuo vya serikali vinafunguliwa hawaja release majina ya wanafuzi waliopata mikopo? Maanake hii haijawahi kutokea au ndo kusema hawana hela nini? Daah bodi ya mikopo kuna haja ya kuireform na kuinganisha na Tcu kwani wao wanaanza kufungua mapema lakini wanachelewa kutoa maombi
Mkuu ulkosa cha ku attach au umekosea?
 
Back
Top Bottom