silasmasha
Senior Member
- Aug 25, 2016
- 155
- 110
Vijana wengi tunajiuna na vyuo vikuu kusoma engineering sababu ya nchi ya viwanda na wengi wetu tumekimbilia:
Industrial
Civil
Electrical
Agriculture and nk,
Swali: Je tupo sawa kwa 100%?? Na kama ni ndio baada ya miaka 5 vijana tutakao maliza chuo tutaweza nufaika moja kwa moja maendeleo Viwanda ...?
Industrial
Civil
Electrical
Agriculture and nk,
Swali: Je tupo sawa kwa 100%?? Na kama ni ndio baada ya miaka 5 vijana tutakao maliza chuo tutaweza nufaika moja kwa moja maendeleo Viwanda ...?