Inter transfer imekaaje

Asante sanaa lakin vp mda huo utatakiwa ukafanye usajili wap ulikoomba kuhamia am a ulipochaguliwa
 
Inabid usubir huko ulikoomba transfer ujibiwe ndio kama umekosa bas urud ulikokua umepangiwa mwanzon mana huwez kufanya registration afu tcu wameshakuhamishia chuo kingine na huko utakua ushasain mkopo hivyo itakusumbua badae wasiliana na chuo ulichoomba kuhama kama tayar tcu wameshawajibu
 
Nenda kaangalie nafasi katika chuo unachotaka kuhamia, ikiwa kuna nafasi basi utatakiwa kuandika barua kwa mkuu wa chuo ya kuomba kuhamia chuo husika, ukiambatanisha copy za vyeti vyako na printed page ya TCU inayoonesha umechaguliwa chuo na kozi gani
 
Mkuu nafasi unaangaliaje..unaenda chuoni moja kwa moja physically kuwaulizia??
 
Nenda chuoni ulizia kama nafas zipo au wapigie cm uwaulize kama nafas zipo ndio uende na barua ya kutaka kuhama
 
Back
Top Bottom