Kuhusu chuo kikuu Tumaini Iringa

Kuhusu chuo kikuu Tumaini Iringa

kukutia

Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
24
Reaction score
8
Wadau polen na majukumu binafsi nimechaguliwa kusoma sheria katika chuo hicho naomba kujuzwa kuhusu taaluma yao,karo na mazingira ya iringa kiujumla
 
Kuhusu Karo sijui but mazingira ya tumaini na iringa kwa ujumla wake hutojuta....
 
Ila law kwa sasa cio issue jaribu kuangalia course nyngne mkuu kwa ushaur ni pm on 0715654676
 
Back
Top Bottom