Msaada UDOM: Kozi ya Bachelor Science in Computer & Information Security

Msaada UDOM: Kozi ya Bachelor Science in Computer & Information Security

kichakaa man

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
5,497
Reaction score
5,198
Kwa heshima kubwa kabisa . naomben ushauri wenu nina mdogo wangu kachaguliwa kusoma Architecture sasa bahat mbaya ye alisoma HGE(KAPATA DIVISION 1 POINT 7) japo O level alisoma science na akufaulu (physics B NA CHEMISTY B+ NA MATHE B+) ALIPATA DIVISION 2 sasa kasikia huko kuna mtiti wa physics za A level Dogo kaingia uoga. Anataka kuhamia UDOM KUSOMA

BACHELOR OF SCIENCE IN COMPUTER AND INFORMATION SECURITY

Sasa naombeni msaada wenu kujua vizur hasa hii koz katika suala zima la soko la ajira na ushindani wake wa ajira hasa ikitokea amewekwa na watu WA IT NA COMPUTER SCIENCE

Nipe ufafanuz mzur kwangu hii koz ndiyo naisikia sasa hiv kuwa ipo pale UDOM

NATANGULIZA ASANTE NYINGI
 
Aliyekwambia IT ni mchekea ni nani? Huko pia kwahitaji kujua hesabu,statistics na physics pia
 
computer science kuna hesabu pure za advance na physics pia itamsumbua, na pale udom, informatics sio rahisi kupokelewa kama alisoma hiyo hge
 
sidhani kwa hiyo HGE ana qualify kusoma science in computer computer science .msingi wa kozi hiyo ni sayansi
 
Kwa heshima kubwa kabisa . naomben ushauri wenu nina mdogo wangu kachaguliwa kusoma Architecture sasa bahat mbaya ye alisoma HGE(KAPATA DIVISION 1 POINT 7) japo O level alisoma science na akufaulu (physics B NA CHEMISTY B+ NA MATHE B+) ALIPATA DIVISION 2 sasa kasikia huko kuna mtiti wa physics za A level Dogo kaingia uoga. Anataka kuhamia UDOM KUSOMA

BACHELOR OF SCIENCE IN COMPUTER AND INFORMATION SECURITY

Sasa naombeni msaada wenu kujua vizur hasa hii koz katika suala zima la soko la ajira na ushindani wake wa ajira hasa ikitokea amewekwa na watu WA IT NA COMPUTER SCIENCE

Nipe ufafanuz mzur kwangu hii koz ndiyo naisikia sasa hiv kuwa ipo pale UDOM

NATANGULIZA ASANTE NYINGI
Kapangiwa chuo gani??? Mbona mnachezea bahati nyie watu???? Kama unapenda ku design majengo and the alike....aende akasome arch...ila kama hapendi asiguse huko kabisa....nataman ningepataga hiyo nafasi miaka hiyo!!!

Kama lengo lake ni ajira ya haraka basi akasome arch na ajue ni miaka 4 kwa mbeya au 5 kwa ardhi!
 
HGE to computer scince... emh kuweni serious!!! hamna World War kule na Geography na Economics lol
 
HGE to computer scince... emh kuweni serious!!! hamna World War kule na Geography na Economics lol
Kuna jamaa nlimaliza nae...yeye alisoma hge...akaenda udom kusoma i.t!!! Ni programmer mzuri kabisa!! Tuache kukrem jamani!!
 
Hiyo Information Security ni pure math na core physics lazima ukutane nazo.
Ni course nzuri sana hiyo lakini ni very tough.
 
Back
Top Bottom