Mshauri afanyaje basi mwambaHAKUNA
Mshauri afanyaje basi mwamba
Akirudi si bado watamkaziaAende uganda akasome huko anachokitaka kukisomea.
Akirudi si bado watamkazia
Tukiwambia msome 5&6 mnajidai kuwa werevu kuliko elimu ya 5&6. Sasa si uishie hapohapo ulipofikia haina haja ya kwenda mbele tafuta ajira.Hivi kuna foundation kozi ya Clinical Officer ili kupandisha GPA?
SawaTukiwambia msome 5&6 mnajidai kuwa werevu kuliko elimu ya 5&6. Sasa si uishie hapohapo ulipofikia haina haja ya kwenda mbele tafuta ajira.