Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI ✍Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa...
5 Reactions
14 Replies
9K Views
Ninapapenda sana Kampala. Nataman kujua watu wa pale wanahitaji nini kutoka Tanzania ili niifanye biashara hyo. Msaada please!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Khabari wana jamvi hili.. Nikiwa na tabasamu lenye tumaini la uimara wa afya zenu, naomba nikunje miguu kama nyie jamvini kisha tujumuike pamoja.. Ewaah.. Akhsanteni.. Kabla hamjanipa chakula...
1 Reactions
1 Replies
708 Views
Habari wakuu naipenda JF naona ni jengo la maarifa. Kuna mtu aliniambia nisipende kuweka fedha zangu bank muda mrefu bila kuziwekeza,vinginevyo zitaathiriwa na kuporomoka kwa thamani ya pesa...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
1. Rais Benjamin Mkapa hadi anaondoka madarakani ktk ile miaka yake kumi unga wa ugali ulikuwa tsh 400/= kwa kilo KWA HAPA DSM 2. Rais Jakaya Mrisho anapokea kijiti unga...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
AUS200 Dominant bias: Bearish The market was mostly bearish in January, and that was strong enough to bring about a bearish outlook on the market. Although volatile, price has not trended...
0 Reactions
0 Replies
563 Views
nina madini yangu ya tanzanite mawe mawili moja la zambarau na jingine la kahawia je kwa dar es salaam tanzanite inanunuliwa sehemu gan?nataka kuyauza au mpaka niende arusha?? msaada wenu wadau
0 Reactions
6 Replies
2K Views
eti wataalamu naweza kununua hisa za laki 3 au mpaka bulk money pekee maana nimekosa pa kuzipeleka kwa sasa
0 Reactions
11 Replies
1K Views
jamani kuna maswali naomba kuuliza kuusu hizi share...hivi tunaponunua IPO baada ya hapo hela si zinatumika kama mtaji na ss tunapewa sehemu tuu ya umiliki inayobaki DSE tukibaki tunauziana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau, Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuimport samaki kutoka Mwanza, sasa natafuta eneo ambalo nitakodisha fremu. Naomba kufahamishwa eneo ambalo limekaa kibiashara na ni rahisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Nimekua nikiwaza uwezekano kufanya biashara ya kusafirisha kokoto (gravel) na building materials in large amounts katika visiwa vidogo (nchi) za jirani na Tanzania i.e...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani kuna mtu anajua kuhusu hiyo taasisi, wasije wengi kulia kama deci.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu.. Naomba kwa anaye Fahamu hivi jengo la Nssf pale Capri point Mwanza Nani or company gani ita run ile Hotel..
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Niende wapi nahitaji mkopo dhamana ardhi ya Shamba au ujenzi.nipo dar ardhi morogoro
1 Reactions
0 Replies
625 Views
Habari zenu waungwana, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninatafuta mtu yeyote aliye siriaz ambaye tunaweza tukafanya nae biashara. Namaanisha mtu ambaye ana mradi au biashara yeyote halali...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
nataka kufungua a/c CRDB ila sijajua gharama ya kufungua a/c ama kujiunga na CRDB Gharama ni shilingi ngapi? Na vigezo jee
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau kama kichwa cha habari juu, Kwa mtu mwenye kujua biashara hii na aliye tayari na awe na cash kiasi kisichopungua 7m nakualika kushirikiana nae katika biashara ya kusaga na kupack Unga wa...
1 Reactions
0 Replies
952 Views
Wakuu, Hiki kitu huwa najiuliza sana, kwanini Tanzania hatuwezi kufanya kazi kwa vikundi na vikafanikiwa sana, ninachozungumzia hapa ni ndugu au watu mmekutana mkaanzisha kundi na mkatafuta...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mtoaji The Hilden Charitable Fund, ni Taasisi isiyo ya Kiserikali ya utoaji wa ruzuku (Grant Making) iliyoko mjini London nchini Uingereza Maeneo ya mradi Taasisi itatoa ruzuku kwa miradi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama unataka kufanikiwa na kuwa tajiri, acha tabia hizi:- 1. Acha tabia ya kuahirisha mambo. Kama kuna jambo au kitu unachotakiwa kukifanya leoleo ni vizuri ukafanya kuliko kukiacha na kutegemea...
63 Reactions
93 Replies
24K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…