Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ,Mazingira Dk Batilda
Burian, alisema kuwa serikali ipo mbioni kukataza matumizi ya mifuko
ya plastiki endapo wafanyabiashara na watengenezaji wa mifuko...
Wakati Mheshimiwa Mkapa anamaliza uongozi wake alikiri kuwa eneo mojawapo ambalo halikupewa umuhimu katika uongozi wake ni KILIMO. Kutokana na jinsi Mheshimiwa Raisi Kikwete alivyoanza katika kasi...
Dotto Bulendu anaandika fb page
Moja ya madhaifu makubwa tuliyonayo Tanzania hasa kwenye sekta ya utalii ni namna ya kufanya "Branding Compaign" ya nchi yetu ama vivutio vyetu vya utalii.
Kwa...
Habar zenu wakuu.
Katika pita pita zangu mtaani nmegundua wafanya biashara wengi wanatumia ''mzizi'' katika kuendesha biashara zao. Kitu ambacho kimenishangaza sana ni kuona hata wale...
Hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa mabenki kuibiwa fedha na wafanyakazi wake. Mara chache matukio haya yamekuwa yanaripotia. Mabenki huyafanya taarifa hizi kuwa siri ili kutoondoa imani kwa...
Nchi yenye utajiri mkubwa wa mafuta kuliko zote duniani "Venezuela" inakabiliwa na mkwamo kutokana sera mbovu za uchumi.
Thamani ya fedha imeporomoka na hifadhi ya fedha za kigeni ni ndogo sana...
Southampton. Watafiti wa chuo kikuu cha Southampton wamesema watampa pauni 3,526( sawa na sh10.3 millioni) mtu yeyote atakayejitokeza aweze kuambukizwa kikohozi ili kusaidia uvumbuzi wa...
Asalaam wakuu
Ktk ile ofa yangu wengi wamenijia inbox na kupendekeza jina liwe bashite.
Sasa nimeogopa kutengeneza bango maana hilo jina mmmh! Halitakuwa na shida kweli? Lisije kuniletea shida...
Wapendwa, nina miaka miwili sasa nikijishugulisha na kilimo kama biashara, na kinanilipa kiasi chake.nimepanga kuisajiri biashara yangu, kuwa inajihusisha na kilimo na ufugaji wa kuku ingawa kuku...
Helo JF katika sekta ya kilimo mwaka huu wakulima wengi hawakupata mazao jambo ambalo linawakatisha tamaa wengi wao.n Nililima ekari tano mwaka huu na matarajio yangu katika kila ekari itoe...
This is what I think on how we can move forward!
Introduce methods of farming that are different from digging a hole in the ground and cover it up with soil. Make agriculture a science. To farm...
Mradi wa Bomba la mafuta kutoka Uganda- Tanzania, Tanga unaweza kwenda sambamba na Mradi wa maji safi kutoka mto Kagera. Kwa kufanya hivi tutapata unafuu wa gharama za Mradi wa maji safi na ya...
Mimi ni mjasiriamali ,ni mwenyeshule iliyosajiliwa .Nilikua natoa darasa la saba la Mara ya pili kisanga cha kuundiwa kesi ya uhamiaji kikanifika Mungu bariki nilijitetea na kupewa haki yangu ya...
Habari zenu waungwana,
Mimi ni binti niliyeolewa mwaka huu. Awali nilikuwa nafanya kazi kwenye moja ya NGO hapa jijini Dar mpaka pale tulipopunguzwa kazini kutokana na hali ya uchumi wa kampuni...
kushirikishana sio vibaya, toka nimeajiliwa huu mwaka wa nane sasa, sijawahi pandishwa dalaja.nina mradi wa kuku na biashara nyingine ndogondogo tatu, nikijumlisha mapato yake ni mara mbili ya...
Wadau ni ndoto yangu kuanzisha biashara ya kukodisha muziki eneo Fulani ambako ni kijijini na Huduma za muziki zipo chini ila sherehe ni nyingi pia.
Naomba mawazo yenu kuhusu changamoto na namna...
Habari waungwana,
Kwangu naona kama haiwezekeni kutegemea mshahara pekee wakunifanya nijikwamue kimaisha, hivyo imenilazimu niingie kwenye biashara kwa haraka sana.
Sikuona kama nitapiga hatua...
Viwanda vingi vya hapa nchini vilikufa na hata vingi vilivyopo vinachechemea na sekta ya viwanda imedumaa.
Unajua ni kwa nini?
Katika nchi zilizoendelea, sekta ya viwanda ni complementary/...
Pretoria — The 2017 Mining Charter has increased the level of black ownership in mining companies from 26% to 30%.
"Holders who have maintained a 30% black shareholding will not be required to...