Habari Jf members, samahani naomba kupata elimu jinsi ya kutumia demo account kwenye Forex, napenda kujua jinsi ya kununua na kuuza fedha za kigeni na meta trade 4 na demo account nimeisha fungua...
Wasalaam wana jf
Nahitaji kujua gharama za kufanya mabadiliko kwenye kampuni yangu kama yafuatayo kumtoa director na kumuingiza director mpya,kubadilisha mwenyekiti na address, kubadilisha...
Ukitembelea mashamba ya Kahawa Kilimanjaro utakutana na Wazee ambao kabisa unaona nguvu zimekata. Hawa wazee do walikuwa wazalishaji wakubwa sana wa Kahawa enzi hizo ila kwa sasa wakati ni ukuta...
Achana na habari zifuatazo;
- Nimehamasika sana.
- Nimesimuliwa
- Tumeshauriwa
- Nimeona.
- Nimesikia
-Nimeambiwa
-Nimesoma mahali.
Hayo hapo juu ndo sababu za mtu kuanza Project na ndo maana...
Kuna kanuni inasema ""anayekuringishia vyako alivyokuibia mwambie basi sivitaki tena"" ndio njia pekee ya kujikwamua na maumivu ya muda mrefu yanayotokana na kuibiwa au kudhulumiwa.
Kwa miaka 20...
Mtu yoyote yule anaweza kuwa Mjasiriamali mwenye mafanikio makubwa na hii itawezekana tu endapo utainisha matatizo ya Jamii na kuyapatia ufumbuzi na baada ya hapo jamii itakuletea pesa kwa wewe...
Wakuu,
Baada ya mwaka jana mwezi wa tano kuamua kufanya biashara ya mchele na namshukuru Mungu inanilipa vizuri mpaka sasa.
Kipindi naanza biashara nilikuwa nipo mwaka wa pili chuo flani, na...
Hebu fikiria khs msumari , Msumari hugongwa sna kabla ya kutoboa na kuzama ndani ya kitu, ndio Jinsi maisha ya Kijasiriamali jinsi yalivyokuwa.
So kbla ya kutoboa jiandae kugongwa sana !. Ila...
Habari wakuu,
Naleta kwenu hasa vijana ambao hamna kazi, sasa usilalamike tena ingia kwenye linki hii ifuatayo na upate pesa kwa kuangalia matangazo. Kwa siku unaweza pata TSh.500,000/= mpaka...
Baada ya tukio la wiki iliyopita kutokea kwa vijana zaidi ya 56,000 waliokuwa wakipambana kupata ajira 400 tu zilizokuwa zikitangazwa, kumetokea na kundi la ambalo binafsi nawaona kama watu...
Mm ni kijana wa miaka 19 nimehitimu kidato cha nne 2016 nmebahatika kupata division 3 Ila kipato cha nyumban nmeshindwa kuendelea na kidato cha tano
Ila nilikua naomba msaada wa kupata ajira ili...
Wakuu nna line ya wakala wa M-PESA na kianzio cha laki 2 laki 1 cash moja float
Je nkianza kufanya miamala naweza pata commission ya wastani ya shilling ngapi kwa mwezi??
Ufafanuzi tafadhali kwa...
Ndugu wana JF, natumai hamjambo!
Naomba mnisaidie wapi naweza kupata miti ya matunda yafuatayo? Nahitaji angalau miti miwili katika kila aina.
Nahitaji mnisaidie kunielekeza nitakapozipata...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
EURUSD is bullish in the long-term and bearish in the short-term. Price went upwards on Monday and Tuesday, testing the...
Baada ya tukio la wiki iliyopita kutokea kwa vijana zaidi ya 56,000 waliokuwa wakipambana kupata ajira 400 tu zilizokuwa zikitangazwa, kumetokea na kundi la ambalo binafsi nawaona kama watu...
Habari za jioni wa ndugu leo napanda jukwaani kujadili jambo moja ambalo linanipa tabu sana viongozi wetu wamekua wakiamasisha kilimo kila siku lakini wameshindwa kuwatafutia soko wakulima wake...
Habari zenu wakuu,
Leo kwa mara ya kwanza niliamua kutumia hii huduma ya Premium katika kupost tangazo langu. huwa napost vitu vingi na kuviuza kupatana but huwa natumia ile ya...
Habari zenu wanajamii.
Nimeanza maandalizi ya kufungua mradi wa usambazaji wa maziwa fresh kutoka kwa wakulima
hadi kwa walaji hapa mujini.
Natafuta storage facilities namaanisha tenki la ujazo wa...
Husika na kichwa cha Habari hapo juu,
Natafuta mkopo wa haraka haraka, natafuta kiasi cha laki na nusu tu nitarejesha baada ya wiki mbili.
Tafadhali naomba kusaidiwa.
Yesu Anaponya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.