Wahenga naomba kujua :Faida/Hasara/Utaratibu na Tofauti za Group Company na Kampuni za kawaida

Nini Tofauti ya kusajili Kampuni kwa Jina Kama Bakharesa Group of Companies na Bakhresa (T) Limited

  • Total voters
    1

Ndikusyaganya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Messages
200
Likes
84
Points
45

Ndikusyaganya

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2013
200 84 45
Wadau kuna suala napenda niliweke kwenu mnisaidie mawazo.

Kume kua kuna ongezeko la Kampuni Nyingi Duniani Kama si Tanzania kujiita " Group" yani kwa Mfano : Bakhresa Group of Companies , Virgin Group , IPP na mengineyo ....

1. Swali langu ni kwamba, Je ufunguzi au kusajili Kampuni zenye kumaanisha Group of Companies ni Sasa na usajili wa Kampuni Wa Kawaida ?
2.Kama ndivyo nini hasa kitatofautisha jina la kawaida la Kampuni na hili Linalo kuwa na neno Group?
3.Kama Sivyo nini faida ya Kusajili Kampuni kwa Jina lisilo amabatana na neno Group au nini faida ya kusajili Kampuni kwa kiunganisho cha neno Group? ( napenda kujua Faida na Hasara)
4.Ni taratibu gani hutumika kusajili kampuni yenye Jina lenye mfanano huu ....e.g : Bakhresa Group of Companies au Virgin Group
 
CHASHA FARMING

Verified User
Joined
Jun 4, 2011
Messages
6,354
Likes
2,574
Points
280

CHASHA FARMING

Verified User
Joined Jun 4, 2011
6,354 2,574 280
Kampuni husajiriwa kama Limited company.

Bagharesa ni Group of company kwa maana wana makampuni kama Azam Juice au Azam colla au Azam Unga au Azam Tv na kadhalika.

Kule Brela kuna Azam Tv kuna Azam Juice na kuna Azam Marine na kadhalika.

Unasajili kampuni kawaida tu sasa kadri unavyo kuwa nazo nyingi ndo hapo unaweza zitafutia jina la ujumla ila hilo jina la ujumla haliondoi usajili wao.

Hivyo Bagharesa groups of company maana yake ni hizo Azam Azam kibao.

Kwa jina jingine huitwa SBUSent using Jamii Forums mobile app
 
MoseKing

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Messages
674
Likes
671
Points
180

MoseKing

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2017
674 671 180
Wadau kuna suala napenda niliweke kwenu mnisaidie mawazo.

Kume kua kuna ongezeko la Kampuni Nyingi Duniani Kama si Tanzania kujiita " Group" yani kwa Mfano : Bakhresa Group of Companies , Virgin Group , IPP na mengineyo ....

1. Swali langu ni kwamba, Je ufunguzi au kusajili Kampuni zenye kumaanisha Group of Companies ni Sasa na usajili wa Kampuni Wa Kawaida ?
2.Kama ndivyo nini hasa kitatofautisha jina
4.Ni taratibu gani hutumika kusajili kampuni yenye Jina lenye mfanano huu e.g: Bakhresa Group of Companies au Virgin Group
- Group of companies maana yake ni kuwa kampuni husika inamiliki makampuni mengi chini yake, au kuna wengine huwa wanatumia neno Holdings
- Mfano wa Bakheresa ana:
- Azam Media, Azam Foods, Azam Fast Ferries, So kwa pamoja ndo amesajili kama BAKHERESA "GROUP OF COMPANIES"
 
Ndikusyaganya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Messages
200
Likes
84
Points
45

Ndikusyaganya

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2013
200 84 45
Kampuni husajiriwa kama Limited company.

Bagharesa ni Group of company kwa maana wana makampuni kama Azam Juice au Azam colla au Azam Unga au Azam Tv na kadhalika.

Kule Brela kuna Azam Tv kuna Azam Juice na kuna Azam Marine na kadhalika.

Unasajili kampuni kawaida tu sasa kadri unavyo kuwa nazo nyingi ndo hapo unaweza zitafutia jina la ujumla ila hilo jina la ujumla haliondoi usajili wao.

Hivyo Bagharesa groups of company maana yake ni hizo Azam Azam kibao.

Kwa jina jingine huitwa SBUSent using Jamii Forums mobile app
Asante Sana Mkuu, nime pata idea
 
Ndikusyaganya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Messages
200
Likes
84
Points
45

Ndikusyaganya

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2013
200 84 45
Ooh aisee, nashukuru Sana Mkuu,ume nifumbua azidi na zaidi hapo
Kampuni husajiriwa kama Limited company.

Bagharesa ni Group of company kwa maana wana makampuni kama Azam Juice au Azam colla au Azam Unga au Azam Tv na kadhalika.

Kule Brela kuna Azam Tv kuna Azam Juice na kuna Azam Marine na kadhalika.

Unasajili kampuni kawaida tu sasa kadri unavyo kuwa nazo nyingi ndo hapo unaweza zitafutia jina la ujumla ila hilo jina la ujumla haliondoi usajili wao.

Hivyo Bagharesa groups of company maana yake ni hizo Azam Azam kibao.
We
Kwa jina jingine huitwa SBUSent using Jamii Forums mobile app
as
 
Ndikusyaganya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Messages
200
Likes
84
Points
45

Ndikusyaganya

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2013
200 84 45
- Group of companies maana yake ni kuwa kampuni husika inamiliki makampuni mengi chini yake, au kuna wengine huwa wanatumia neno Holdings
- Mfano wa Bakheresa ana:
- Azam Media, Azam Foods, Azam Fast Ferries, So kwa pamoja ndo amesajili kama BAKHERESA "GROUP OF COMPANIES"
Asante Sana mkuu
 
Joined
Jun 28, 2017
Messages
77
Likes
100
Points
25
Joined Jun 28, 2017
77 100 25
Nimerudi Mkuu!
Naomba nami niongezee katika kuweka sawa zaidi maswali yako kama wajumbe waliotangulia walivyoelezea ila ntajibu kwa kufuata mtiririko wa maswali yako japo swali namba 1 na 4yatajibiwa kwa pamoja.
1=>Maana ya 'grouo of companies' na makampuni mengine
Group of companies ni mkusanyiko wa makampuni zaidi ya moja ambayo yatakuwa chini ya kampuni mama ie holding company iliyotengenezwa kununua na kumiliki hisa za kampuni nyingine shiriki. Hii kampuni mama ikimiliki shea kubwa ndiyo huipa uwezo wa kuzidhibiti kampuni shiriki. Hii ina maana ya kwamba kampuni mama inakuwa na sifa hizi
a) uwezo wa moja kwa moja au si moja kwa moja kudhibiti, kuwa na nguvu ya kura ya maamuzi katika mkutano mkuu
b) kuwa na haki ya kuchagua kwa kuappoint au kudhibiti wakurugenzi ambao watakuwa na nguvu ya kimaamuzi katika mkutano wa bodi
c) kuwa na nguvu na haki ya kura ambazo zitaamua usalama na mustakabali wa kampuni shiriki

2=> Makampuni mengine yamegawanyika katika sehemu 3 ambazo ni kama ifuatavyo na maelezo yake kwa kifupi
a) kampuni binafsi
Ni kampuni yenye asili ya mahusiano ya kijamii zaidi kuliko ya kibiashara kabla ya kusajiliwa kwake. Mahusiano yanaweza kuwa baina ya ndugu katika familia n.k. Ni ngumu kusajiliwa katika masoko ya hisa na kuhamisha hisa ni ngumu vilevile. Ina kiwango cha umiliki kuanzia watu 2 na mwisho watu 50 tu

b) kampuni ya umma
Hii ni kampuni iliyowazi ambayo mtu yoyote anaweza anaweza kununua hisa na kuwa sehemu ya umiliki. Inaanzia watu 2 na haina mwisho. Inaweza kusajiliwa katika masoko ya hisa. Kampuni binafsi inaweza kusajiliwa katika masoko ya hisa iwapo marekebisho ya vipengele vta memorandum vitarekebishwa

c) kampuni ya kigeni
Ni kampuni iliyosajiliwa nje ya Tanzania lakini shughuli zake inafanyia Tanzania. Inaweza kuwa Tanzania kama tawi. Hata kama wamiliki wote Watanzania lakini imesajiliwa nje ya Tanzania itabaki kuwa kampuni ya Kigeni

2. Taratibu za kusajili kampuni
a) Jina la kipekee la kampuni lazima lisifanane na jina lolote linalo fanya biashara
b) Memorandum and Article od Association lazima zipokelewe na kukubalika BRELA
c) Kutimiza taratibu na sheria zote kwa mujibu wa fomu namba 14b na kiapo cha mwanasheria kithibitishe
d) Maelezo kamili ya wakurugenzi wa kampuni yawe yenye kujulikana kwa mujibu wa fomu 14b

Faida za group of companies ni
1. Kisheria
Uwezo wa kuthibiti kampuni shiriki kwa kupitia bodi ya wakurugenzi. Uwezo wa kuwaajiri na kuwafukuza kisheria menejana wakurugenzi wa kampuni mshirika
2. Uthibiti wa matumizi sahihi za rasilimali
3. Kupunguza uwezekano wa hasara / risks hasa kwa Multinational compnies
4. Mipango ya pamoja ya kodi katika kuangalia sehemu zenye kodi ndogo hivyo kufungua kampuni mshirika. Mfano kampuni A iwapo ikaona Tanzania kodi zimekuwa kubwa na nyingi sana inaweza kuhamishia sehem ya shughuli zake kwa kupitia kampuni B iliyopo Kenya ambako kuna unafuu wa kodi
5. Wakurugenzi na mameneja wa kampuni mshirika wanawajibika kwa kiwango cha juu sana kwani kampuni mama inauwezo wa kuwaondoa

Angalizo:
Nimejitahidi kutokutoa mifano ya majina ya makampuni kutokana na sheria na kuna baadhi ya wamiliki hawapendi kampuni zao kutolewa mifano

Nimejitahidi kutumia kiswahili ili kila mtu aweze kuelewa ili itusaidie kurekebishana

Maelezo yangu yame 'base' kutoka source ya Brela iwapo kuna mahala hapajakaa vema nirekebisheni kwani hakika ukamilifu ni wa Mwenyezi Mungu
Nawasilisha

Kampuni husajiriwa kama Limited company.

Bagharesa ni Group of company kwa maana wana makampuni kama Azam Juice au Azam colla au Azam Unga au Azam Tv na kadhalika.

Kule Brela kuna Azam Tv kuna Azam Juice na kuna Azam Marine na kadhalika.

Unasajili kampuni kawaida tu sasa kadri unavyo kuwa nazo nyingi ndo hapo unaweza zitafutia jina la ujumla ila hilo jina la ujumla haliondoi usajili wao.

Hivyo Bagharesa groups of company maana yake ni hizo Azam Azam kibao.

Kwa jina jingine huitwa SBUSent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joined
Jul 30, 2017
Messages
79
Likes
92
Points
25
Age
24

Anselim

Member
Joined Jul 30, 2017
79 92 25

Exactly
 
Mkuu ile safari yako ime rudi na mshindo mkubwa, Asante kwa ufafanuzi mzuri sana
 
Forum statistics

Threads 1,203,548
Members 456,791
Posts 28,118,134