Biashara ya cable TV, Je ipo kihalali?

Mvomero city

Member
Jul 14, 2017
15
5
Habari za sahiz .ningependa kujua HV hii biashara ya cable TV IPO kihalali (tcra ) wameiifhinisha? Maana ninachoona ni kama wanawanyonya weny makampun ya ving'amuzi(Azam,zuku, nk) na kama IPO kihalali Nataman kuiazisha.naomba muongozo kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani haipo kihalali,
Maana ni kama wewe tu uwe na Dish lako kisha uanze kuwaunganishia nyaya majirani zako,
Ndio maana Azam TV kila mara wanapiga mikwara
 
ipo kihalali na unalipa kodi na leseni toka TCRA... na ndio maana watu wanafanya hiyo biashara ktk maeneo mengi ya miji... ila tu kuna makampuni kama DSTV huwa shida wakiona chanel zao humo... utakula faini ambayo itakufanya kuwa masikini na kuanza kuinuka upya toka ktk umasikini...
 
Hii ni sawa na kuuza CD za Kuban au kuwekewa nyimbo kwenye flash Mwenye Nyimbo hanufaiki na nyimbo yake wananufaika watu wengine. Kuna mapungufu kidogo hapo inatakiwa kila kinachouzwa mwanzilishi/ chanzo halisi nacho kinufaike na mauzo Hayo. Ndio maana unaona wasanii wa Tz ni masikini wakati wa Marekani ni mabilionea bado tunasafarindefu kwa wasanii na wabunifu MBALIMBALI Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo kiaharali ni kufata sheria kulipa kodi na kuchukuwa leseni TCRA... hakuna tatizo lolote... ila una takiwa kuwa na makubaliano na hao pia azam na wengine... maana na wao ni wafanya biashara ndio maana hata wao kipindi fulani walikuwa hawawek chanel za upande fulan kwa kuwa ni washndan wao na hawakuwa na makubaliano nao... mpaka pale TCRA walipo ingilia kati hili swala kama mna kumbuka kipindi kile kila mtu ana leta king'amuzi chake...
 
Fiber Optic - Extremely FAST and RELIABLE.
CTV established since 1992 has built over 300 kilometers METRO Optical Fibre Cable infrastructure in Dar es Salaam and provides Fibre to the X - FTTx, providing all types of last mile solutions for various network architectures including Fibre to the Business FTTB, Fibre To the Home FTTH , etc.

Besides providing METRO last mile connectivity, CTV is a Broadband Internet and Pay Television Company with its headquarters based in Dar es Salaam, distributing choice Television programs on High Definition (HD) Digital cable system comprising of TV channels that includes general entertainment, News, sports and religious programs. CTV is currently operational in Dar es Salaam, Tanga, Morogoro, Dodoma and Mbeya and has strategic partnerships with other operators in Mwanza, Arusha, Moshi and Zanzibar.

CTV is a company driven to provide customers with a complete solution to their entire current and future Television, Internet and private Metropolitan Area Network (MAN) requirements.

Welcome to Cable TV Network
 
Fiber Optic - Extremely FAST and RELIABLE.
CTV established since 1992 has built over 300 kilometers METRO Optical Fibre Cable infrastructure in Dar es Salaam and provides Fibre to the X - FTTx, providing all types of last mile solutions for various network architectures including Fibre to the Business FTTB, Fibre To the Home FTTH , etc.

Besides providing METRO last mile connectivity, CTV is a Broadband Internet and Pay Television Company with its headquarters based in Dar es Salaam, distributing choice Television programs on High Definition (HD) Digital cable system comprising of TV channels that includes general entertainment, News, sports and religious programs. CTV is currently operational in Dar es Salaam, Tanga, Morogoro, Dodoma and Mbeya and has strategic partnerships with other operators in Mwanza, Arusha, Moshi and Zanzibar.

CTV is a company driven to provide customers with a complete solution to their entire current and future Television, Internet and private Metropolitan Area Network (MAN) requirements.

Welcome to Cable TV Network
 
Nadhani haipo kihalali,
Maana ni kama wewe tu uwe na Dish lako kisha uanze kuwaunganishia nyaya majirani zako,
Ndio maana Azam TV kila mara wanapiga mikwara
Azam wampige mkwara kampuni yenye uwepo wa kwenye game ya television miaka zaidi ya 20 na na pia Azam wenyewe walishakuwa wateja wa hiyo kampuni kukwepa gharama za dstv acha uongo mkuu usipende kubuni upwepwe
 
Sasa uongo hapo ni nini?
Kwamba Azam haijapiga mkwara au??
Na Sijataja any kampuni here sababu Tangazo la Azam nililoliona liko General kwa yeyote yule anaetumia Azam kwenye Cable
 
ipo kihalali na unalipa kodi na leseni toka TCRA... na ndio maana watu wanafanya hiyo biashara ktk maeneo mengi ya miji... ila tu kuna makampuni kama DSTV huwa shida wakiona chanel zao humo... utakula faini ambayo itakufanya kuwa masikini na kuanza kuinuka upya toka ktk umasikini...
Kuna Jamaa Tabora alipigwa faini kero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ulie uliza hili swali inaonekana uko Dar kwahiyo hapo ni wivu tu unakuuma,endeleeni tu kuangalia ligi za ulaya kwenye vibanda umiza,sie huku kwa raha zetu tunatizamia majumbani mwetu..
 
Ukiritimba wa sheria za kodi za biashara kwenye nchi yetu...unaifanya biashara halali kuonekana haramu na haramu kuonekana halali.....ambapo inategemea tu huyo mfanyabiashara anakula na nani kwenye system.......

Mifumo ya biashara ya kwenye taifa....haipo ili kumfanya mfanyabiashara akuwe kiuchumi bali afirisike kabisa.........

Ili biashara yako ikue na kustawi unalazimika kuvunja baadhi ya sheria........
 
Back
Top Bottom