Ushauri wenu kwenye huu uwekezaji mpya

Lokii

JF-Expert Member
Sep 23, 2016
709
2,087
Amani iwe kwenu wanaJF

Katika pitapita zangu mitandaoni hivi majuzi nimekutana na huu uwekezaji mpya kwa jina la D9 CLUBE SPORTS TRADING

Kwa maelezo yao wanajihusisha na biashara ya michezo na mambo ya betting

Binafsi sio mshabiki sana wa ligi za mpira so sijawahi hata kubet, ila nimekuwa inspired kuwekeza kwenye hii club kwasabu inaonekana sio lazima u-bet lakini hata ukiweka tu hela yako kila wiki kunakua na gawio kulingana na package uliyowekeza

Naomba muongozo kwa memba yeyote humu ambaye anafahamu hii ishu kindakindaki au ambaye ameshajiunga na hii club

Link hiyo hapo chini kwa ambao bado hawajakutana nayo

D9 Clube Sports Trading – How it works – Guide and Sign UP
 
Natafuta mtu aniunganishe wakuu..
Nishapata mtaji wa Gold package $2080.
Tatizo sijapata mtu kwa kuniunganisha.
Namba yangu 0757242685
 
Kama thread yako ilikuwa inataka ushauri naweza kukuambia hiyo D9 ni moja wapo ya chain itakayokuja kufail....
 
Back
Top Bottom