Biashara inayolipa yenye soko lake kubwa Tanzania au Uganda

ween

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
414
128
Wakuu
Nafrkri mko Poa kwa wenye matatizo polen. Naomba tupeane ujuzihapa nibiashara gani ambayo naweza toa Uganda nikaleta Tz ikanipa Faida hasa solo lake Liwe ktk mkoa wa mwanza Na wilaya zake.
 
Wakuu
Nafrkri mko Poa kwa wenye matatizo polen. Naomba tupeane ujuzihapa nibiashara gani ambayo naweza toa Uganda nikaleta Tz ikanipa Faida hasa solo lake Liwe ktk mkoa wa mwanza Na wilaya zake.
Msinitoe povu Jamani ujumbe huu unamakosa ya kiuandishi Ila lengo La uzii huu nidhahiri umeeleweka ingawa kuna baadhi ya makosa mawazo yenye muhimu Sana nayangoja
 
Back
Top Bottom