maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,144
- 15,144
Wakuu kuna clip nimeiona whatsapp inasambaa ambapo yule mzee Simbeye mwenyekiti wa sekta binafsi anaongea kwamba tarehe 13 october kuna nafasi za kwenda China kuangalia fursa za viwanda ambapo zinaratibiwa na kampuni moja ya utalii nchini. Bahati mbaya sijaskia utaratibu wa kujisajili na gharama za safari. Kama kuna mwenye taarifa zaidi au link atuwekee hapa tuchangamkie fursa maana hadi mashine ukinunua china wanasaidia kwenye taratibu za clearance.