Wana body naomba kuuliza kuhusu hii taasisi : Step Up Loans

baunsa nyoka

Member
Apr 16, 2015
19
0
wana body


kuna taasisi moja inajiita kwa jina la STEP UP LOANS kwa maelezo inajihusisha na kutoa mikopo kwa wajasiriamali wadgo online tena ndani ya dk45... ila vigezo lazima uweke akiba ndo wakupe mkopo. kwa mfano ukiweka 100,000. wanakupa 1,000,000. yan akiba yako wanaizidisha 10x.....wana body mwenye uelewa na hii taasisi naomba anieleweshe nicje ingia cha kike.....
 
Ndugu hao ni matapeli walisema wapo dodoma nikasema nielekeze office zao zilipo kwa sababu nipo dom wakanikatia simu nikapiga hawakupokea alafu kuna jamaa niliwasiliana nae wamemla laki 2 bila kumpa huo mkopo na wameblock
 
Hahaha mkopo na kianzio utoe tena?? Hili janga waambie waanze wao kukupa mkopo utatoa kiingilio kutoka kwenye hiyo amount watakayokupa.
 
Ndugu hao ni matapeli walisema wapo dodoma nikasema nielekeze office zao zilipo kwa sababu nipo dom wakanikatia simu nikapiga hawakupokea alafu kuna jamaa niliwasiliana nae wamemla laki 2 bila kumpa huo mkopo na wameblock
Mimi pia nina shida ya mkopo niliwatafuta ila nilishtuka mapema ni matapeli kwaio.nikaachana nao
 
no no usiende huko,elewa if its to good to be true ..........,na please please mikopo sio kabisa elewa unatumia pesa ya mtu mwingine kwa hiyo inakuja na masharti mengi mno,ndio maana our no 1 anapokopa nje fedha inaiweka rehani nchi nzima,fanya utafiti katika our national bajeti tunajitegemea kwa asilimia ngapi sisi wenyewe?
 
wezi hao kuna mmoja kakamatwa jana anaoza selo...wanaanzisha makundi huko whatsapp then wanaenda kwenye ma`taasisi like shuleni kwenye wafanyakazi wengi then wanawashawishi wakichanga tu wengi wanajitoa wanawaachia kundi lenu,wengi waasisi wa huu wizi wapo morogoro nahisi...
 
Back
Top Bottom