Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wilaya ya mbozi ni miongoni mwa wilaya zilizopo mkoa mpya wa songwe uliogawanywa kutoka mbeya.Wilaya hii inakadiliwa kuwa na wakazi wasiopungua laki 6 na asili ya wakazi wa wilaya hii wengi ni...
1 Reactions
1 Replies
6K Views
Tunauza miche ya eucalyptus na pine.Tunahudumia mashamba yenye miti ,+255752771966 , +255758884477 na +255753771328
3 Reactions
11 Replies
1K Views
July 28, 2017 Barclays reported a £1.2 billion ($1.57 billion) attributable loss for the first half of the year, as it suffered a loss on the sale of its Africa business. The lender reported a...
0 Reactions
2 Replies
758 Views
Barrick Announces Dividend PDF TORONTO, July 26, 2017 — Barrick Gold Corporation (NYSE:ABX)(TSX:ABX) today announced that its Board of Directors has declared a dividend for the quarter of U.S. 3...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa kweli inasikitisha kuona taasisi zetu mbali mbali, kama vile Uhamiaji, SUMATRA, TRA n.k zikiwa zimekaa kimya wakati Tanzania tunaibiwa mchana kweupe. Naomba nitoe...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mkurugenzi mtendaji wa benki ya maendeleo Mzunguko mdogo wa fedha uliopo nchini kwa sasa unaendelea kuzipa Taaasisi za kifedha nchini changamoto ya idadi ndogo ya watu wanaoweka amana kwenye...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari za wikeend, na poleni kwa majukumu mazito tuliyonayo kwenye ujenzi wa taifa letu. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, nimepata fursa ya kuwa agent ambaye nitakua naletewa hizi bidhaa mpya...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau habari za humu. Naomba ufafanuzi katika hili, Kuna mzigo nimetumiwa na ndugu kutoka UK kuja Tanzania na amelipia kila kitu kuhusu transport cost. Sasa nimepigiwa simu na jamaa kutoka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wasalaam wakuu, Ujasiriamali kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa ni jambo linalohubiriwa sana. Watu wa kada mbalimbali wamelisemea kama jambo la kher, na matokeo yake mwitikio kutoka kwa watu...
22 Reactions
68 Replies
7K Views
Jamani nauza mafuta ya ubuyu, mwenye kuhitaji au ajuaye soko lake mahali lilipo awasiliane nami ktk 0787891477. Matumizi na faida ya mafuta ya ubuyu zinafahamika,hasa kwa wenye HIV na inatibu...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Leo nimepewa taarifa kuwa katika kikao cha Wanahisa kilichokaa mjini Arusha imeamuliwa kuwa gawio la kila hisa iwe shs. 10. Haingii akilini kwangu kutokana na faida ya Tshs.75bn iliyopatikana...
13 Reactions
76 Replies
17K Views
HABARI ZENU WANA JF. Namshukuru Mungu kwa mawazo yenu ya kuhusu sabuni nami nameingia kwenye hiyo biashara kuanza hatua za mwanzo kabisa kuwenda kumuona supply wa mashine kupata bei na kuweka...
1 Reactions
6 Replies
7K Views
Pamoja na kuipongeza serikali kwa kuanza ujenzi wa reli ya standard gauge ambayo treni zake zitakuwa za Umeme, najiuliza huo umeme wa uhakika upo? Wenzetu nchi zilizoendelea wanatumia umeme wa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Share za ACACIA zazidi kuporomoka baada ya TRA kupeleka TAX invoice ya more than Tsh 450.4 trilioni ikiwa ni malimbikizo ya kodi, riba na adhabu kati ya mwaka 2000-2017...
5 Reactions
109 Replies
9K Views
Nyumba za serikali ziliuzwa kwa bei ya ubuyu. Thamani tu ya ardhi kutokana na maeneo zilipokuwa zimejengwa ni kubwa kuliko hata majengo yenyewe. Rais Magufuli ni wazi kuwa analifahamu hili hasa...
2 Reactions
1 Replies
727 Views
Hivi ikasafiri team ya wataalam pamoja na yale macontena kwenda huko wanakochembua, Au sisi Tanzania tusafirisha tukachembua na kupata kiasi halisi cha dhahabu si mjadala umeisha? Baada ya hapa...
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Habari za kupambana n majukumu ya siku!!! Mm Kama kijana wa kitanzania mwenye afya timamu.Kama mfanyabiashala wa kati ambae riziki yangu c haba kwa kweli. Nimekaa na kutafakali sana mpaka sasa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Inashangaza kuona afisa wa TRA anakukamata na kukutoza faini kisha anakipa risiti ya kuandikwa kwa mkono. Ivi TRA mnatuona wananchi kama mazuzu siyo?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mwenye uhitaji wa Sungura wanapatikana. Kwa mawasiliano zaidi. Tuwasiliane 0789857595 0718957595
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Makampuni ya simu za kiganjani yamekuwa kero kwa wateja wake kwa kutowatendea haki, ni kwa kutoa huduma duni. Kuna kampuni inaongoza kwa usumbufu kwa wateja wake, imekuwa dhaifu sana kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom