Share za ACACIA zazidi kuporomoka baada ya TRA kupeleka Tax Invoice

Kawaida tu kama Siku ya press ya magu zinashuka kesho kutwa zinapanda ila sitegemei watatulipa hiyo fedha sema watatupoza kidogo kama tutrillion 10 may be or not
 
Paul Alex, mbona akina nyamigogo pale karumwa na mwakitolyo wanapeta tu, tutaichimba kwa moko
 
Naanza kuona kwa nini Tundu Lissu yuko ndani...huenda kuna vitu vinafanyika na wengi hatuwezi kuona. Kwenye majukwaa ya kisiasa na kile kilicho nyuma ni mambo mawili tofauti. Huenda Tundu Lissu anashinda/kukesha sehemu wakipeana mbinu za kijasusi zaidi namna ya kudeal na mzungu. I am just thinking, si lazima niwe sahihi!!
 
Back
Top Bottom