Wahindi ni moja kati ya jamii zenye kiwango kikubwa cha Entreprenership spirt.
Wengine ni kama Waisraeli ambao ndo wenye kiwango kikubwa kabisa cha spirt.
TUWAANGALIE WAHINDI WA HUKU BONGO...
Maendeleo Bank pamoja na wewe. Bank ya Maendeleo leo imezindua promosheni iitwayo Maendeleo pamoja na wewe. Akizungumza kwenye hafla hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Bank Ibrahim Mwangalaba...
Wakuu bado nafanya utafiti wa kufungua kiwanda cha alizeti naomba wenye uzoefu na hii biashara waendelee kunisaidia. Sehemu ambazo nahitaji kujua zaidi
1 gunia moja ya debe sita mashudu ni kiasi...
Mimi nina fremu nakodisha CD naomba mawazo yenu, je kama nataka kusajili kampuni yangu BRELA nitaisajili vipi, Na je ni faida zipi ofisi yangu itapata kwa kuisajili kampuni yangu BRELA?
Asanteni...
Wakuu za habari zenu kwanza, twende kwenye topic
Nimekua nikifikilia sana kuhusu hili swala na Nina mpango wa kulifanyia research hapo baadae japokuwa kwa akili ya kawaida mtu anaweza akaona ni...
Kuna watu wanaamni ukisoma ndo unaweza anzisha ulicho somea.
Elimu na Kuona furusa ni sawa na mbingu na nchi. Unaweza usisome na ukaanzisha hospitali mara baada ya kuona Furusa.
Mengi hajasomea...
Wakuu naomba ushauri nimepata hela kidogo ambayo inatosha kununua boda moja au kulima hekari mbili za Viazi Njombe.
Matarajio:
Boda: kuwa napata 70'000 kwa wiki sawa na 280'000(12)=3'360'000 kwa...
UOGA NA AIBU NDO MUHIMIL MKUU WA UMASIKINI NA UFUKARA.
Leo hii mtaani wamejaa Graduates, Majumbani wamejaa Magraduate,Kazini watu wanafanya kazi huku wana nung'unika tu.
Leo hii Wazazi/walezi...
Habari zenu wadau.
Naomba kuuliza, ivi km una deni la vat labda la mwezi january ambalo hukulipa, inawezekana kulilipa kidogo kidogo huku unaendelea na biashara?
Sheria inazungumziaje kuhusu...
Hatimae jana katika pita pita zangu nilivyopitia kwa bwana Mangi si ndo nikaona karanga za ndugu yetu nikasema ngoja nione kinachopewa promo hivi kunani. Daaah kwa kweli ladha yake zile karanga...
Wakuu, hivi kuna utaratibu wowote wa kuanzisha ranch kisheria? Na vp vitu muhimu vinahitajika kwa ajili ya kuanzisha ranch binafsi, je kuna changamoto zozote katika huo mradi?
Ushauri wenu...
Saruji (cement) imepanda ghafla hadi kufikia 12,500 kwa mfuko wa kilo 50. Wiki 2 zilizopita, bei ya saruji ilikuwa 9700 kwa mfuko. Wafanyabiashara wamekuwa wakihusishwa kupanda kwa bei na...
Kichwa cha thread chahusika.
Kazi: Kukaanga chips kavu, Chips Mayai, Chips Kuku, Chips Samaki na kutengeneza Kachumbari.
Muda: Kuanzia saa 2 Asubuhi mpaka Saa 5 Usiku. Siku zote za wiki. Siku ya...
Msaada: najaribu kununua kitu ebay kutoka uk kila ninapo click buy now napata jibu This item does not ship to Tanzania. mwenye kujua namna ya kutatua anielekeze
‘App’ hii imelenga kuwasaidia watumiaji wake kupata taarifa muhimu kuhusu hoteli, usafiri, sehemu za vivutio, klabu, kasino, maduka makubwa, ubalozi na hospitali.
Dar es Salaam. Kampuni ya simu...
#OneCoin*
OneCoin ni Cryptocurrency au Digital Currency. Ni fedha ambayo ipo kwenye mfumo wa digitali na si wa sarafu au noti inayoshikika. Ni fedha ambayo itatumika dunia nzima muda mfupi ujao...
SERIKALI ZALENDO ILIPASWA IELEZE WATZ NAMNA IMEJIANDAA KUJITOA KTK MASHIRIKA KANDAMIZI KAMA IMF (International Monetary Fund) Ambao wamekuwa wakiendesha sera na uchumi wetu ktk njia ya kunufaisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.