Fursa ya kuuza Diamond karanga (mikoa ya Nyanda za juu kusini)

NAREI

JF-Expert Member
Mar 10, 2017
1,730
1,648
Habari za wikeend, na poleni kwa majukumu mazito tuliyonayo kwenye ujenzi wa taifa letu.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, nimepata fursa ya kuwa agent ambaye nitakua naletewa hizi bidhaa mpya za DIAMOND KARANGA zinazofanya vyema sana sokoni kwa sasa.
Nitakua naletewa bidhaa kutoka dar mpaka MBEYA kwa gharama za kwao, But mimi ninachotakiwa ni kulipa kwa CASH then kufanya SUPPLY to the markets (at wholesale price).
Box/dozen moja ina packet 100
Na wholesale price ntauziwa na kampuni kwa tsh 19000/ then Mimi ntauza kwa tsh 25000 (wholesale price)
There fore margin profit will be 25000-19000=6000
Nina experience na masoko yote kuanzia
IRINGA
MAFINGA
MAKAMBAKO
NJOMBE
SONGEA
MBINGA
MBEYA
NA TUNDUMA
changamoto iliyopo ni
1.LACK OF CAPITAL (I.e cash)
2. SUPPLY MEANS/TRANSPORT/DELIVERY to the markets/customers
(Ikipatikana kirikuu itafaa zaidi)
Kwa yeyote aliye tayari namkaribisha tushirikiane kwenye hiki!
Nawasilisha fursa iliyo mbele yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nafikiri changamoto inakujaga baada ya watoto kuzoea kula hivi vitu hawatagi tena kama muuza itawalazimu kuja na bidhaa mpya sasa mwanzoni kila mmoja anataka aone kuna nini hivyo kuonekana kwamba kila mtu ni mpenzi wa karanga
 
Back
Top Bottom