Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nataka nisafirishe mbegu za korosho nje ya nchi. Je mbegu ntapata wapi maana nimepata wateja Zambia wanataka hizo mbegu. Naombeni maoni Na ushauri
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi, heshima kwenu. Nataka kujiingiza kwenye hii biashara ya kununua machupa na kuuza kiwandani. Kwa wale wanaofanya au waliofanya nipeni dondoo ya hii biashara. Bei ya kununulia...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Ni rahisi kufanikisha jambo lolote, ikiwa jambo hilo utataanza kulifanya mara moja na kuacha kusubiri. Ni rahisi kujifunza kitu kipya kwenye maisha yako, ikiwa utaamua kweli kujifunza kila siku...
4 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wana Jf. Naomba msaada kuhusu Benki yenye mikopo yenye riba nafuu. Ni mkopo wa kupanua biashara.
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Ni wazo kuu ni hivi kutegemea na soko la ajira kwa wenye taaluma mbalimbali limekua gumu napenda kuwaomba vijana wenzangu tuungane kwa pamoja kisheria tufanye jambo. Kwanza nimeandaa mkakati...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi namiliki gari aina ya center yenye uwezo wa kubeba tani 2. Nimeajiriwa na kampuni za bandarini hivyo natakiwa kila Siku ofisini gari nmepaki tu nyumbani. Wikend napata muda wa kutumia gari...
0 Reactions
37 Replies
9K Views
Hawa jamaa wa BRELA wametumia BILIONI 1 kununua software ( kuna taarifa ni kwa njia ya utatanishi kwani haikutangazwa hata hiyo tenda) bonyeza section ya services kwenye hii website below...
0 Reactions
95 Replies
22K Views
Mfanyabiashara Aliko Dangote amefungua kiwanda cha saruji chenye thamani ya dola milioni $300 nchini Congo Brazzaville ambacho kina uwezo wa kuzalisha tani 1.5 milioni kwa mwaka. ========= The...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakulu, Kutoka katika ajira ya kuajiriwa na kuingia katika ajira ya binafsi ni kazi kubwa.Mimi niko njia panda nataka kupata mkopo wa kununua truck ili hata nikiacha kazi yangu ya kuajiriwa...
0 Reactions
43 Replies
23K Views
Wakuu habari za hapa,natumaini mko salama.Wakuu kuna watu wananifuata inbox face book na kunishawishi nijiunge na hiyo Aim globe.sasa mpaka naileta kwenu hapa in kqamba naogopa kuingia choo cha...
0 Reactions
1 Replies
803 Views
i have reached the threshold on adsense Lakini bado sijajua njia ya kutoa pesa hizi au kinachoendelea nimeshaset Western union kama Primary way to get my Revenue ila bado hawajanitumia lolote!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bank of Tanzania. The Bank of Tanzania (BoT) has issued another business license to Creditinfo Tanzania Limited, a credit reference bureau based in Dar es Salaam. A brief statement issued by the...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza nikiri kwamba sijui chochote kuhusu uchumi.Ninavyofahamu mimi ni kwamba uchumi wa nchi unapokuwa mkubwa na ndivyo thamani ya pesa yako inavyokuwa kubwa/imara linapokuja swala la masoko...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Wakuu habari za hapa, natumaini mko salama, Wakuu kuna watu wananifuata inbox facebook na kunishawishi nijiunge na hiyo Aim globe. Sasa mpaka naileta kwenu hapa in kwamba naogopa kuingia choo...
1 Reactions
0 Replies
879 Views
Habari wadau, nimepata vijisenti kiduchu na kuona kama naweza angalou nunua kausafiri hivi. Nataka kuñunua NISSAN X TRAIL ya mwaka 2007 ambayo ni dolali 4115 ila wanasema tax and duty haipo. Je...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimesoma kwenye mitandao nikakutana na kitu Online Forex business. Nimejaribu kusoma lakini sijaelewa sana. Yaani kununua currency moja na kuiuza kwa currency nyingine online, Mwenye uelewa...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu kama uzi unavyojieleza Kati ya mbuzi na kuku ufugaji upi unaweza kukupa tija bila kukumbana na majanga ya magonjwa kama kuku mfano gomboro. Kideli nk.. Najua Kuna watu humu wameula wa chuya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari za Leo,Mimi sio mgeni sana hapa Jf Ila acc yangu ya mwanzo nimeshindwa kuitumia Kwa ss,.. Naomba kujua uzoefu Wa wafanyabiashara Wa Mpya za dukani hasa wale Wa Arusha na maeneo ya...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Back
Top Bottom