Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wasalamu, Wakuu maisha yamebana sana na kila mtu anatakiwa kujiongeza ili mambo yaende. Mimi nina kautalaam kidogo ka silaha za jadi ie: upinde, mishale, mikuki na kadhalika. Nilipata kuletewa...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Kipindi cha nyuma kulikuwaga na mijadala migumu sana humu, Kulikuwa na hamasa sana, watu nakumbuka walikuwa hadi wanakutana kwa Chai day na wana discus Biashara hasa kilimo, Idea ya Jamii Saccos...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Heshima mbele wadau, Kama mjuavyo nimekuja kwa fuso la njegere hapa jijini juzi tuu, nikatokea hukoooo kijijini Madeke kwa wala Mbwa. Back to the point ya msingi. Baada ya kushuka tuu nilikutana...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Salaam kwenu, Napenda kushauri wafanyabiashara kua Tanzania ya sasa inaua mitaji ya wafanyabiashara kodi sio rafiki ni kodi kubwa kuliko mitaji yenyewe nashauri watu wakawekeze Uganda au DRC au...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Pengine umekuwa ukiwaza sana nini ufanye ili uweze kufanikiwa na kuondokana na adha za umaskini. Yako mambo mengi ya kufanya mimi nataka kukufungua macho kwa jambo moja tu tena kwa uchache. Jambo...
13 Reactions
27 Replies
10K Views
Mkazi mmoja wa wilayani Serengeti amedai kugundua eneo lenye madini aina mbalimbali ambayo anataka kuyakabidhi serikalini ili yachimbwe kwa manufaa ya taifa. Source: ITV HABARI
0 Reactions
8 Replies
872 Views
  • Poll Poll
Vitabu vya sauti (Audio Books) nitakavyokupa mwisho wa hii thread vitakusaidia sana kwenye Biashara na maisha leo leo na utasimulia mwenyewe. Wengi ni wavivu sana kusoma vitabu,sana sana...
3 Reactions
3 Replies
4K Views
Kuna watu nazani huwa wanaumia sana tena mno wanapo kutana na post mbali mbali za wadau mbali mbali zinazo sisitiza watu kuwa waajiri na sio waajiriwa Nazani wanao umia huwa wanapotea njia kwa...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Habaru wakuu... Kuna fursa mbili hapa naziona hapa kwa Mimi kijana ambaye kwa sasa nimeamua kujikita katika masuala ya biashara ila Mara nyingi kabla sijaanza biashara uwa nakuja jf kwa ajili ya...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Napenda kuingia katika hii biashara ya mchele kati ya Morogoro na Shinyanga wapi kuna mchele mzuri na wapi kuna unafuu wa bei kipindi cha mavuno? Bei kwa gunia inakuwaje muda...
2 Reactions
109 Replies
37K Views
Waliomaliza kilimo(sua),wpewe ardhi kwenye vikundi, kandokando ya mito mf moro! Waaanze kilimo cha umwagiliji,eg apple,tunanunua s,afrika,mpunga nk,wanachokosa vijana ni mitaji tu ,wapo walioitimu...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni mwanachuo mwaka wa tatu (BscCIM) pia Mfanyabiashara nmejitahidi kupambana na maisha nikafungua ofisi yangu ninayochezesha GAMES ZA WATOTO JAPO HATA WAKUBWA UNACHEZA TU (PLAYSATION 4) ila...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wana jamvini? Katika hangaika yangu nimepata wateja wa mafuta ya alizeti, nimesikia yanapatikana Singida, tatizo sijui pa kuanzia ili kuyapata na kuyaleta Dar ili kusupply. Naomba msaada...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu kwa anayejua ufanyaji kazi wa hii visacard atusaidie ambao hatufahamu.Nimeiona sehemu lakini sijaambulia chochote kwa undani zaidi. Msaada tafadhali
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za mchana nyote. Naomba niende kwenye topic yangu ipo hivi, nina kijibiashara changu kidogo nakifanya kujikimu kimaisha sasa nina mashine ya Efd na ni kawaida yangu kutoa risiti kulingana...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyosema nime order incubators 3 zenye ujazo wa 6,336 ingine 4,224 na 3,520 zinakuja na Hatchers zake pia nime order hatcher peke yake ya mayai 3500...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Source ITV Leo wizara imekiri kuwa star times hawalipii kodi ving'amuzi vyao wakati huo huo kampuni nyingine zinalipa kama kawa. Kisa wao waliomba wasilipe kodi na serikali ikaonelea ombi lao...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Karibuni wadau. Mjasiriamali ni nani? Mjasiriamali ni mtu mbunifu, ambaye ununifu wake anaunadi na kutumia ili apate faida. Mjasiriamali ni kitendo cha kuchukua hatua na kuanzisha kitu kipya au...
4 Reactions
6 Replies
17K Views
Ni kwa nini Rutu aliambiwa asitzame nyuma pindi anaondoka mji ule? Ni kwa sababu Mungu alijua fika kitendo cha kutazama nyuma tu kitafanya Rutu abadilishe mawazo yake ya safari na kuamua kurudi...
13 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari wana jf hivi karibuni nina mpango wa kuuza bidhaa online kutoka China na Tanzania kwenda mataifa mengine kuhusu China sina tatizo lkn changamoto inakuja kwa upande wa Tanzania je ni njia...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…