Msaada njia rahisi na yenye gharama nafuu kusafirisha bidhaa nje ya nchi.

thewajibu

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
226
293
Habari wana jf hivi karibuni nina mpango wa kuuza bidhaa online kutoka China na Tanzania kwenda mataifa mengine kuhusu China sina tatizo lkn changamoto inakuja kwa upande wa Tanzania je ni njia ipi rahisi na yenye gharama nafuu ninayoweza itumia? Tafadhari wenye uzoefu na waliowahi fanya hili jambo naomba msaada wenu.
2c2b07928f4a833ec4185d73c66202f7.jpg

Keep calm and Hire yourself.
 
Pesa utakuwa unapokeaje ?

Mwl.RCT anaweza kusaidia
 
Waone DHL kwa vifurushi vidogo. Wao kila mkoa.
 
Kuna kampuni mpya inayoitwa Standard Parcel Services (UPESI) wao wanafanya mikoa yote Tanzania na nje ya nchi,pia wanao Maofisa waliobobea katika shughuli hizo.
 
Pesa utakuwa unapokeaje ?

Mwl.RCT anaweza kusaidia
Nampango wa kufanya mazungumzo na Equity bank kwa kuwa wao ni wskenya nipate suluhisho la paypal ikishindikana mpaka hatua ya mwisho ntatumia mifumo mingine kwa siuzi kupitia Amazon wala makertplace nyingine sababu najenga brandi yangu.

Keep calm and Hire yourself.
 
Kuna kampuni mpya inayoitwa Standard Parcel Services (UPESI) wao wanafanya mikoa yote Tanzania na nje ya nchi,pia wanao Maofisa waliobobea katika shughuli hizo.
Ahsante mkuu ntawacheki.

Keep calm and Hire yourself.
 
Nampango wa kufanya mazungumzo na Equity bank kwa kuwa wao ni wskenya nipate suluhisho la paypal ikishindikana mpaka hatua ya mwisho ntatumia mifumo mingine kwa siuzi kupitia Amazon wala makertplace nyingine sababu najenga brandi yangu.

Keep calm and Hire yourself.
Tatizo siyo bank ya nje, tatizo kubwa ni uraia wako wewe. Unaweza ukafungua bank yoyote na ukafake kuwa uko Kenya wakakubalia, ila baada ya muda watataka kuthibitisha, watakutaka uwatumie National ID na/au Bill ya umeme au maji yenye jina lako. Hapo utakwama.

- Yaani Tanzania ina viongozi kama maboga tu.
 
Kuna haja ya kutafuta mshirika kutoka nchi nyingine nafikiri hili nalo haliwezi kutushinda wakati huu wa teknolojia

Keep calm and Hire yourself.
 
Kuna haja ya kutafuta mshirika kutoka nchi nyingine nafikiri hili nalo haliwezi kutushinda wakati huu wa teknolojia

Keep calm and Hire yourself.
Hilo linawezekana ila labda awe partner ila kama ni kwa msaada tu ujue gharama za uendeshaji zinaongezeka kwa kuwa atataka na yeye Commission fulani.
 
Hilo ni kweli lkn bora kufanya hivyo kusubiri serkali wakati tunapitwa fursa kirahisi

Keep calm and Hire yourself.
 
Back
Top Bottom