Nataka kuwa na kampuni Tanzania


directa

directa

Senior Member
Joined
Jan 27, 2017
Messages
175
Likes
146
Points
60
directa

directa

Senior Member
Joined Jan 27, 2017
175 146 60
Wana JF habarini.

Mimi ni kijana I am in my early 20's. Nataka kuwa na kampuni ya FILM PRODUCTION. To be honest sina mtaji mkubwa. Sina hata vifaa.

Kinacho nisukuma kufungua kampuni: (Tukiachana na kwamba ni passion yangu) nimehangaika sana kupata funds ili kufanya film yangu ya kwanza.

Nimeandika business plan kibao kushawishi investors lakini potential investor mmoja, akanambia "be legit first" ndio nikaanzia hapo kufikilia kuwa na Kampuni.

Naomba ushauri kwa watu wenye makampuni na mawakili wa tasnia ya burudani. Kwa situation yangu ya kutokua na vifaa na kuwa na mtaji mdogo (mtaji wa kusajilia na kutengeneza portfolio).

Kipi nifanye kipi nisifanye na je naweza kuisimamisha kampuni?
 
srinavas

srinavas

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2011
Messages
3,357
Likes
1,813
Points
280
srinavas

srinavas

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2011
3,357 1,813 280
Wana JF habarini.

Mimi ni kijana I am in my early 20's. Nataka Kuwa na Kampuni ya FILM PRODUCTION. To be honest sina mtaji mkubwa. Sina hata vifaa.

Kinacho nisukuma Kufungua Kampuni: (Tukiachana na kwamba ni passion yangu) nimehangaika Sana kupata funds ili kufanya film yangu ya Kwanzaa. Nimeandika business plan kibao kushawishi investors lkn .

Potential investor mmoja, akanambia "be legit first" ndio nikaanzia hapo kufikilia Kuwa na Kampuni.

Naomba Ushauri kwa watu wenye makampuni na mawakili WA tasnia ya burudani. Kwa situation yangu ya Kutokua na vifaa na Kuwa na mtaji mdogo (mtaji WA kusajilia na kutengeneza portfolio). Kipi nifanye Kipi nisifanye na jee Naweza kuisimamisha company kiivyo.
mkuu nenda brela pale au ingia kwenye website yao utapata maelezo ya kutosha itakusaidia zaidi
 
directa

directa

Senior Member
Joined
Jan 27, 2017
Messages
175
Likes
146
Points
60
directa

directa

Senior Member
Joined Jan 27, 2017
175 146 60
mkuu nenda brela pale au ingia kwenye website yao utapata maelezo ya kutosha itakusaidia zaidi
ASANTE najua Brela wapo. Lkn nahitaji advice Kwa wataalamu. Watakaozungumzia ni aina gani ya company ita ni suit. Plus wanasheria WA field ya burudani Pia wanipe vidokezo vya kisharia in such business.
 

Forum statistics

Threads 1,250,522
Members 481,371
Posts 29,736,306