Habar za cku ya Leo ,
Kama nilivoeleza apo kuwa nahitaji kufungua mwalo ya kuzalisha udongo wa dhahabu unaotokana na mawe ya dhahabu yaliyo sagwa na kuoshwa ili baadae niweze kuuza huo udongo kwa...
Mfano, Mtu akiwa na duka la mangi, salon, na mgahawa maeneo tofauti, anapokadiriwa kodi yanaangaliwa mauzo katika biashara zote au kila biashara inakadiriwa kodi kivyake?
Kupata mkopo tawi la Pride hapa Arusha imekuwa ngumu sana.Ukiomba mkopo wanasema hawana pesa.Wako ktk mchakato wa kulipa kodi.Kuna watu wamejitoa baada ya kuona hawapewi mikopo lakini kila wakidai...
Baada ya kauli iliyotolewa na rais JPM wakati akizindua kiwanda cha mafuta huko shinyanga kuwa ataongeza kodi kwenye bidhaa za mafuta zinazoingizwa nchini kutoka nje,bei ya mafuta yanaozalishwa...
Private sector inajiendesha bila kutumia kodi wala kupata ruzuku, ukifilisika umefilisika ndio maana hata wasomi wetu wengi hawapendi kujiajiri wenyewe wako tayari waajiriwe hata kwa ujira mdogo...
Wakuu heshima kwenu,
Ninataka kujua hii taasisi ni ya nini na inahusu nini hasa, Jirani yangu alijiunga na mfuko huo bila kuelewa kwa miaka zaidi ya kumi sasa wakawa wanamkata 24000 kwa mwezi...
Habari wadau. Natumaini ni wazima. Naomba kupata ifahamu toka kwenu kwamba ni vigezo gani au biashara gani zinazotakiwa kulipia TFDA kwani tulizoe kwamba wanaolipia hicho kitu ni wale wanaouza...
1. Kununua Mashine za kukoroga
zege na kukodisha.
2. Kununua Mashine za kukata
vyuma na kuzikodisha.
3. Kutengeneza na kuuza tofali
4. Ufundi, Website updating/
Database: Katika Halmashauri...
Habari zenu wadau wa jf.
Mimi ni kijana umri miaka 25, nipo Dar es salaam. Nimepata wazo la kuanza kusambaza kwa reja reja mitaani maziwa ya ng'ombe ya fresh na mtindi yanayotengenezwa viwandani...
Salaam wadau
Katika moja ya idea(project) zangu zilizo kichwani ni biashara ya kukodisha makokoteni, dhumuni kubwa la kutaka kuanzisha hii biashara ni kukuza au kutengeneza mtaji wangu mwenyewe...
Bank za Barclays barani Afrika kubadilishwa jina na sasa kuwa ABSA bank, hii ni baada ya Barclays ya Uingereza kuamua kuachana na biashara ya Africa na kuuza hisa zao nyingi za Barclays Africa.
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Neutral
The market did not do anything significant last week. In fact, the market has generally been choppy since February...
The latest Deloitte African PE Confidence Survey indicates that investors interest in TZ has increased from 52% in 2016 to 67% in 2017. This is good news
Habar wakuu
Wiki 3 zilizopita nimeweza kufungua biashara ya miamala ya pesa (tigo pesa&m pesa) matarajio yangu ni angalau kwa mwez iniingizie si chini ya 50,0000 kwa mwezi
Kabla ya kumuweka mtu...
Ukipata pesa leo halafu uka nunua kiwanja, usitafute pesa ya kuanza kujenga, bali tufuta pesa fanya kitu amabacho kitaingiza kipatao kingine kwa ajili ya kujenga kwenye kiwanja hicho, Ni Sawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.