Wakuu,
Ni hayo tuu, nahitaji elimu hapa maana ninachojua mimi kidogo ni kodi ya mapato inakatwa kwenye faida sasa hata biashara sijaanza ndo nafanya paperworks ila nahitajika kulipa hilo kadirio...
Baada ya kupata ajali na gari yangu ndogo kama wiki 3 zilizopita niliamua kui-test ile theory yangu ya placebo effect.
Wakati nimepanda daladala ya Geza-ferry huku nikiwa nimesimama katika mbanano...
Kuna usemi mpya unasema “Heri walimkavu kuliko walimwengu.” Penye walimwengu pana pana mengi. Nasema hivi kwa nini. Kiuhalisia tuliletewa hii fursa na kijana mwenzetu ambaye naweza sema si...
Habari wadau..
Naona thread nyingi za forex za kuisifia na za kuipinga..
Dogo amekuja kutukomboa na elimu ya forex.. japo wengine wanasema ina ujanja ujanja ndani yake..
Napendekeza kuwe na...
Kama vijana tupo serious kuna mambo kadhaa tunaweza kufanya;
1. Kufanya mobilization.Tuanzishe forum tukutane tuunde kundi tujisajili tukachukue mikopo halmashauri.Maneno bila vitendo ni sawa na...
Habari wanajf,
Mimi ni kijana kwa umri 27,
Leo ninalo wazo juu ya vijana kujikwamua na kuushinda umasikini. Kwanza niseme yafuatayo;
Kijana kwa asili yake hupata pesa ndogo ndogo ambazo huwa...
Tunaendelea kujikakamua . Tutatoboa tu.
Kuna mtindo ambao ulianza kama masihara huko nyuma lakini sasa umepamba moto sana na unazidi kuota mizizi mno siku zinavyozidi kusogea.
Kukopeshana hela...
Asilimia kubwa ya watu wamefanikiwa kupitia biashara, ni asilimia chache sana wana mafanikio kupitia ajira lakini wengi wenye majumba mazuri, magari na mali nyingine wamezipata kupitia biashara...
NBAA itashindwa kuandaa mitihani kwaajili ya wanafunzi wanaosomea uhasibu ifikapo Julai 2018 kama wajumbe wa bodi yake ya uongozi hawatakuwa wameteuliwa na waziri mwenye dhamana.
Kwa namna isiyo...
Habari wakubwa Kwa wadogo... naomba kujua kama kuna benki hapa Tanzania inayo weza kukopesha pesa kwa dhamana ya GARI! mfano mkopo wa sh 3M (milioni 3) kwa gari ya sh. let say iki-tathiminiwa...
Habari,
Naulizia kuhusu taratibu za kufuata kubadilisha matumizi ya gari aina ya Toyota Noah kuwa ya Biashara.
Pia napenda kujua gharamu ya mchakato huo.
Nawasilisha
Wana JF
Najua kati yetu tumeagiza gari nje na kwa aina moja ama nyingine tumeshiriki au binafsi au kwa kumtumia agent kutoa gari bandarini.
Naomba model ya ukokotoaji wa gharama za kutoa gari...
Wana jf naomba kwa anayejua anijulishe ni utaratibu gani unafuatwa ili kuingiza kampun kwenye list ya service provider ya government procurement services agency,na ina faida gani kwa kampun...
Kwa wale wazoefu wa kuagiza mizigo Kikuu.
Ningependa kujua hatua ya mwisho baada ya kutrack na ikaonyesha time out.
Nimeona mzigo tayari ulishachukuliwa na rider siku tatu zilizopita.Nini...
Habari wana jamvi.
Kuna jamaa yangu, ana kampuni ya usafi, ali omba maombi ya kusajiliwa na gypsa. Sasa majibu yametoka na amekosa zabuni. Kwa mujibu wa Gpsa, zabuni ni kuanzia mwaka 14/15/16/...
Moja ya sehemu ambayo utawapata watu siriasi Tanzania ni hapa jamii forums, lakini kwa sasa jukwaa limekuwa na watu wa ajabu ajabu ambao wanauwa jukwaa zima na kufukuza watu wenye tija kabisa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.