Gharama za kutoa gari bandarini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama za kutoa gari bandarini

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Challenger, Jun 5, 2012.

 1. Challenger

  Challenger Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 5, 2007
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wana JF

  Najua kati yetu tumeagiza gari nje na kwa aina moja ama nyingine tumeshiriki au binafsi au kwa kumtumia agent kutoa gari bandarini.

  Naomba model ya ukokotoaji wa gharama za kutoa gari bandarini. Maana imeshuhudiwa waTanganyika wanashindwa kutoa gari bandarini kwa sababu haku-budget mambo sawa.

  Nawakarisha kwa msaada
   
 2. Loly

  Loly JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  kwa ufupi tuu, kama utaagiza gari lenye thamani ya kuanzia '
  usd 3000-3800 nani ya kuanzia 2002 basi hakikisha una 15,000,000 cash ndio uanze mchakato wakuagiza na utalitoa bila blabla zozote
   
 3. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Unamaanisha hizo 15 mil ni gharama za bandari tu au pamoja na kodi?
   
 4. J

  JahGun Senior Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndugu yangu hii TRA ni wezi wanatangazia watu hii system yao mpya ya evaluation kuanzia Jan. 2012 lakini cha kushangaza uki feed details kwenye system yao ya Ascuda Plus ili itoke estimate ya ushuru inakuwa tofauti na ukifanya wewe. Kwa kifupi kama wana mislead watu...mimi last month nimetoa gari ya mwaka 200i0 nika feed kwenye hii system na nikaipeleka kwa afisa wa evaluation na yeye akanitolea estimates ileile kama mimi nilivyopata USD 4,208 lakini cha kushangaza nimelipa ushuru 12,100,000/= baada ya agent kuingiza kwenye hiyo ascuda plus.

  nime attach hiyo evaluation calculator na list ya magari na bei zake. wewe weka mwenyewe utaona unatakiwa ulipie kiasi gani.
   
 5. Loly

  Loly JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  hiyo nikuanzia japani hadi0 kuingia nalo barabarani, itofautishwe miaka hapo maana hapo sio chakavu kama ni nikuanzia miaka ya 2001 kurudi nyuma bei itaongezeka kidogo hapo na kama ni 2010 hadi sasa jua bei itakua juu pia.


  4
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
 7. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Nafikiria safari nyingine gari nikalichukulie bandari ya Mombasa itakuwaje. Bandari ya Dar pamoja na gharama kuwa juu jiandae kulipata gari zaidi hata ya wiki mbili, hadi unachoka sijui imekaaje.
   
 8. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Jamani naombeni msaada na mimi.

  Nikinunua gari ya mwaka 1998 kwa USD 5000 kule nje ambayo ni bei na usafiri nitenge sh ngapi hadi gari kuingia barabarani?
   
 9. Challenger

  Challenger Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 5, 2007
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jamani,

  Nashukuru kwa maoni mbali mbali lakini bado hatujajibu sawali la msingi - Mimi ninachotaka kujua gharama za kutoa gari bandarini - najua TRA watakuwa wameniacha hoi kiasi gani - nimejiandaa kuwashinda (budget yao nimewatengea mapemaaaaa! - kwani kwa kutotaka ugomvi niliwauliza TRA Customer Care - wakanipa figure kwa aina ya gari ninayotaka

  Sasa nataka kujua fainali kule bandarini - najua kuna handling charges, whalfage, na teminology nyingi za kuchanganya ili kutuboa mfuko niliowekea vijifedha, Sasa nitahohitaji hapa ni vipengere gani wanavyotumia hawa watu wa bandari kwa muagizaji kulipia gari aliloagiza nje na likapitia kwenye bandari yao.
   
 10. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,646
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Gharama za bandari kwa gari ndogo ndogo hazizidi laki 300,000/= , gari likiwa kubwa na bei ya bandariinaongezeka kuna vipimo wao wanaita CBM zinavyongezeka na wharfage inaongezeka.hapo pia ujumlishe na gharama za kumlipa agent wako ambazo ni kati ya 200,000/= mapaka 500,000/= inategemea makubaliano yenu.
   
 11. Challenger

  Challenger Member

  #11
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 5, 2007
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mnama nashukuru kuanza kutoa mwanga kwenye swali la msingi - najua mwisho wa siku tutapata "MODEL". Awali nilitengeneza excel sheet yangu ambayo nilikuwa nikutumbukiza CIF value basi bottom line ananitolea figure ambayo inabidi niwatupie bandari. Bahati mbaya nimeli-misplace file langu so everything has fallen apart nimegeuka kuwa omba omba kama unionavyo
   
 12. Challenger

  Challenger Member

  #12
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 5, 2007
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Loly thanks

  Lakini niona umejibu swali gumu kwa jibu jepesi sanaaaa!. kama uyasemayo ndiyo yashikayo basi wengi tungekuwa tunayaona magari kwa macho tu barabarani 15,000,000 just kwa gari la USD 3000-3800 ni kubwa saaaana kwa bandari labda unamaanisha kodi mbali mbali za uingizaji magari (Import taxes) jumlisha kodi za bandari
   
 13. Loly

  Loly JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  sijamaanisha 15m ndio kodi, hiyo nipamoja na gharama za kununua na kusafirisha na port charges, tax pamoja na agent ndio maana yangu,
   
 14. Loly

  Loly JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  wana rate zao huwezi kuestimate figure kamili, mpaka gari lifike
   
 15. Loly

  Loly JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  usipungukiwe na 15m pia inategemea na aina ya gari yawezekana ikapanda hadi 16m
   
 16. Loly

  Loly JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  ni kweli bora utolee mombasa hakuna longolongo kama dar, pia gharama sio juu sana compd na dar.
   
 17. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  thanks, calculator siioni.
   
 18. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Many Thanks buddy
   
 19. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #19
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
 20. Challenger

  Challenger Member

  #20
  Jun 7, 2012
  Joined: Sep 5, 2007
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  @ Loly hapo tumeshikamana
   
Loading...