Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Brela kuanzia mwezi kwanza mwaka huu mlifanya mabadiliko kwenye mfumo wenu wa usajil majina ya kampuni. Lakin mabadiliko hayo yamekuwa shida kwetu watumiaji wa mfumo huo. Kwani mlitutumia user...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Ni dhahiri kwamba mpango Wa rais wa Marekani Donald Trump kulinda ajira za ndani ya US chini ya Sera yake ya Amerika Kwanza inakwenda kuibua vita kubwa ya kibiashara. Leo Ijumaa Juni Mosi Umoja...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Niko Bagamoyo, mabwawa yapo tayari na maji na baadhi yana samaki nimekwama kwenye kumalizia kuingiza mbegu kwenye baadhi ya mabwawa natafuta mtu aje na mbegu ya samaki tufuge pamoja. Tutafanya...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Hello, Kwa yeyote anaejua na kufanya naomba kujua gharama halisi za uzalishaji wa sabuni za magadi kuanzia carton 10 na kuendelea. Gharama za materials n.k. Ahsanteni
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Wakuu! Naomba kujuzwa taratibu na sifa za kupata Leseni ya Super dealer.... Wapi inatolewa, natakiwa kuwa na sifa zzipi? Ni lazima niwe na Kampuni? Leseni nnayotaka ni Super dealer ambayo...
1 Reactions
43 Replies
10K Views
Habarini za wakati huu wana JF Kama kichwa kinavojieleza nimekuwa na wazo la kuanzisha kiwanda cha aina fulani ya chakula ambayo bado haipo sokoni kwa hapa tanzania na katika uchunguzi mdogo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanabodi, Kwa wanaofahamu namna ya kuhamasisha mitaji ya makampuni wanafahamu maana ya debentures. Kwa kiswahili inaitwa hati gani sijui..... Je ni sheria ipi inasimamia debenture trustee katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Fursa kwa watanzania kuzalisha mihogo na kuiuza China China asks Tanzania for more cassava
1 Reactions
16 Replies
3K Views
*NUKUU* "Serikali ya awamu ya 5 imefanya uamuzi mgumu wa kulifufua shirika letu la ndege kwa kuamua kununua ndege mpya za kisasa kabisa ambazo zipo kwenye Dunia ya sasa." - Dkt. Hassan Abbas...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Habarini wanaJF... Mimi ni mwalimu wa Maths ambaye bado sijaajiriwa na shule yoyote, Ninawazo lakuanzisha tuition katika mtaa ninaoishi, hivyo naomba ushauri wako ni vitu gani nizingatie hasa ili...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wadau, nimekutana na changamito na hawa TRA sehemu ya biashara yangu kuna stika nimebandika katika vioo vya frame yangu ambayo ipo ndani ya shopping mall hapa jijini. Sasa wakapima na...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Mimi ni mteja katika mtandao wa tigo na kwa uelewa wangu naamini yanatakiwa kulipia VAT ambayo ni 18% kautoka kwenye ada zinazo katwa kutoka kwa wateja, lakini kuna baadhi ya ada kama za kulipia...
0 Reactions
2 Replies
998 Views
Source: Kizazi cha kuelimisha Aina Ya Wateja Ambao Unatakiwa Kuwaepuka Mapema Kwenye Biashara Yako. Katika biashara ni kawaida kukutana na wateja wa aina tofauti tofauti na wateja wote kama...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu, Natafuta mtu wa kushirikiana nae katika biashara ambayo tutaamua kwa pamoja kama washirika kufanya, binafsi nina mawazo ya biashara kadhaa na nina mtaji wa million 2 ila...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wataalamu na wawezeshaji wa kituo cha kimataifa cha utawala bora cha Basel cha Uswisi wapo nchini kutoa mafunzo kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru). Kupitia kituo cha...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu, nataka kuwa dalali wa nyumba, vyumba, viwanja, frame za biashara, apartments nk. Je nifanyeje ili niwe maarufu? Nifanye ili wenye mali zao wawe wananipa mtonyo ili nipeleke wateja?
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Serikali ya awamu tano kupitia kauli mbiu yake ya "Hapa kazi tu" inaendelea ya ujenzi wa miundombinu ikiwemo ya reli, viwanja vya ndege na maji. Hii ni taarifa fupi ya Shirika la Reli Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu, Kama ambavyo tunaona matangazo yanayotolewa na mabenki kushusha riba za mikopo kutokana na maelekezo ya BOT ili kuleta nafuu kwa wakopaji. Hili la riba imekuwa ni juhudi binafsi za Mh...
20 Reactions
94 Replies
15K Views
Wakuu habari za majukumu ya kutwa mzima. Mimi ni kijana wa kiume (31) nina ham ya kutaka kufanya biashara lakini kila ninae muamini na kumuachia mtaji anakula mazima yaani mpaka nashindwa...
2 Reactions
66 Replies
9K Views
Back
Top Bottom