Biashara ya usafirishaji kwa kutumia Noah

logarithm1

Member
Dec 31, 2017
25
8
Habari,

Naulizia kuhusu taratibu za kufuata kubadilisha matumizi ya gari aina ya Toyota Noah kuwa ya Biashara.
Pia napenda kujua gharamu ya mchakato huo.

Nawasilisha
 
Tafuta kampuni za tours zinazohusika na biashara ya usafirishaji waonyeshe gari yako ikiwa ni nzuri wataikodi kwa kupatana bei
 
Nenda TRA akabadili kadi kutoka PRIVATE kwenda Commecial ,gharama ni TSH10000

Kisha utalipia 150000 kama kodi ya mapato
Kwa kuongezea hii kodi unaweza kuwaomba ulipe baada ya miezi mitatu, hivyo utakadiriwa kisha utafanya kazi baada ya miezi mitatu utalipa. Ila ni bora ukalipa kabisa. Hii 150000 ni miezi mitatu tu maana yake kwa mwaka itakuwa kama 60k

Ila kuna baadhi ya mikoa kama unabenda abiria itabidi ufike Sumatra kupata kibali.

Hapa utahtaji dereva mwenye class C, mkataba wa kazi unapatikana idara za ajira na kazi lakini pia Sumatra watataka gari ikaguliwe na Vehicle polisi.

Sumatra ni Tsh 25000/= tu

Kila la heri
 
Asante Mkuu !
 
Hapo ni sawa mkuu?
 
Yea. Lakin ukikadria kwa mwaka ulipe kabisa inakuwaga kama 450 hv maana TRA wanajuaga wenyewe hesabu zao

Noah nilisikia tangazo la kuziondoa kwamba hazitakiwi kutumika kama usafiri kwa abiria.

Je kuna maeneo ya nchi bado wanazikubalia?
 
Back
Top Bottom