Salaam Wadau,
Tunakusogozea huduma zetu karibu yako zaidi kupitia ubunifu mpya katika ulimwengu wa kidigitali, NMB KLiK nama rahisi, salama na isiyo na usumbufu wa kuwa na huduma za kibenki wakati...
Wadau habari..
Mimi mwezi december nimepokea mkopo wa milion 18900000 kutoka crdb... Niliuza mkopo wangu wa nmb... Tulifanya calculation na loan officer ya fedha nazoweza kupata ikaja kwenye...
Salaam., natafuta mwekezaji wa kuwekeza chochote atakachoona kinafaa kulingana na eneo lilivyo.
Eneo lipo Tanga, Pangani karibu kabisa na beach, ni mita 100 kutoka baharini(mita za serikali na...
By THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
THE Chief Secretary, Philemon Luhanjo, has intervened to help convince Mlimani Holdings Limited carry on with the multi-billion shillings Mlimani City project...
jamani eheee mimi mwenzenu kila nikiangalia vijana wenzangu walionitangulia naona wamerudi nyuma wakati nikifikiria kuhusu plan B katika maisha
nimejaribu kuangalia jamaa zangu waliokuwa...
Habari,
Hivi kwa mfanyabiashara anaeuza bidhaa nje ya nchi akitaka kulipwa kwa kutumia paypal afanyaje? Tanzania haiko listed kama unaweza ku receive money kwa paypal
Kwamba wewe unaenda kiwandani unachukua mzigo kwa jumla let us say tani moja ya Sundrop au Blue band au pipi whatever,unaenda mtaani kutafuta wenye maduka ya rejareja unawauzia kwa bei ya jumla...
Source: NEWS ALERT: NDEGE MPYA AIRBUS A220-300 IKIWA TAYARI KULETWA TANZANIA KUTOKA CANADA - ZanziNews
NEWS ALERT: NDEGE MPYA AIRBUS A220-300 IKIWA TAYARI KULETWA TANZANIA KUTOKA...
UTANGULIZI
Kwanza kabisa nitoe angalizo vyote nitavyo viongea kwenye thread hii sijalenga kampuni yeyote(ndio maana sitotaja jina kabisa la kampuni yeyote) bali huu ni uchunguzi binafsi nilio...
Habari wana jf
naambatanisha na screenshot kutoka account yangu na nimeacha ubini tu wa kitanzania
Ili ujulikane kweli ni account yangu mimi mtanzania.
Nikiwa mdogo sana nilikuwa naamini kuwa...
Habari zenu wapendwa,
Nahitaji ushauri hasa kwa wazoefu au wamiliki wa noah na hiece katika mkoa wa moshi na Arusha je ni root ipi nikiweka hoan au hice bas pesa itakuwa ya uhakika? Maana kuna...
Tanzania na Rwanda zips katika hatua ya mwisho ya makubaliano ya kupanua mradi wa reli ya kisasa 'SGR' itokayo Isaka, Tanzania hadi Kigali , Rwanda na sasa itaongezwa hadi Rubavu mpakani mwa...
Habari za wakati huu wana if....
Naomba kujuzwa kwa yoyote mwenye uelewa kuhusiana na biashara ya maziwa ya ng'ombe kuanzia lita 100 mpaka mia tano je mtu unaweza anzisha small firm ya package...
Huu mradi uliwahi kujadiliwa humu jamvini siku za nyuma lakini ilwekwa jukwaa la Siasa na ilijadiliwa kisiasa zaidi na uzi ukapoteza mwelekeo.
Hivi sasa dalili zinaonyesha kuelekea kwenye...
Hivi sumatra hawajaliona hili, haiwezekan kwenye maji kukawa na bei kubwa sana mwendo wa saa 1.30 na Dom mwendo wa saa 9 mpka 10
Naomba kujuzwa tofauti yake au huwa wanaangalia nini, maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.