Ndege mpya aina ya Airbus A220-300 ikiwa kwenye matayarisho ya mwisho kabla ya kuanza safari kuja Tanzania

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
10,417
6,911
Source: NEWS ALERT: NDEGE MPYA AIRBUS A220-300 IKIWA TAYARI KULETWA TANZANIA KUTOKA CANADA - ZanziNews

NEWS ALERT: NDEGE MPYA AIRBUS A220-300 IKIWA TAYARI KULETWA TANZANIA KUTOKA CANADA

othman maulid 3:15 PM



Ndege mpya aina ya Airbus A220-300 ikiwa kwenye matayarisho ya mwisho mwisho kabla ya kuanza safari kutoka Montreal, Canada, kuja Tanzania tayari kuanza kazi ikiwa imebatizwa jina la Ngorongoro.

Ndege mpya aina ya Airbus A220-300 ikiwa kwenye matayarisho ya mwisho mwisho kabla ya kuanza safari kutoka Montreal, Canada, kuja Tanzania tayari kuanza kazi

Mmoja wa wajumbe wa Tanzania akipata maelezo ya Ndege mpya aina ya Airbus A220-300 ikiwa kwenye matayarisho ya mwisho mwisho kabla ya kuanza safari kutoka Montreal, Canada, kuja Tanzania tayari kuanza kazi.

Ujumbe wa Tanzania ukiwa na Ndege mpya aina ya Airbus A220-300 ikiwa kwenye matayarisho ya mwisho mwisho kabla ya kuanza safari kutoka Montreal, Canada, kuja Tanzania tayari kuanza kazi

Ndege mpya aina ya Airbus A220-300 ikiwa kwenye matayarisho ya mwisho mwisho kabla ya kuanza safari kutoka Montreal, Canada, kuja Tanzania tayari kuanza kazi.
 
Back
Top Bottom