Bei ya Dar to Dom 20,000 km 400 bei ya Dar to Zanzibar 25 km 25

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,203
998
Hivi sumatra hawajaliona hili, haiwezekan kwenye maji kukawa na bei kubwa sana mwendo wa saa 1.30 na Dom mwendo wa saa 9 mpka 10

Naomba kujuzwa tofauti yake au huwa wanaangalia nini, maana mafuta ni yale yale tu
 
Mafuta ni yale yale unamaanisha nini. Mbona bei ya ndege dar-dom ni kubwa kuliko gari wakati distance ni sawa
 
  • Thanks
Reactions: bbc

Mafuta ni yale Yale? Gharama za matengenezo ni zile zile? Gharama nyingine pia ni Sawa?
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Mkuu ndege na treni nauli zao ni sawa? Bei yaBoti na bei ya basi zinafanana? service zao zipo sawa? ulaji wa mafuta pia una hakika unafanana?
 
Hivi sumatra hawajaliona hili, haiwezekan kwenye maji kukawa na bei kubwa sana mwendo wa saa 1.30 na Dom mwendo wa saa 9 mpka 10

Naomba kujuzwa tofauti yake au huwa wanaangalia nini, maana mafuta ni yale yale tu
Mtazamo wako ni hasi. Hivi 25km umezipataje?
Screenshot_2018-12-18-18-24-46.jpeg
 
Mafuta ni yale yale unamaanisha nini. Mbona bei ya ndege dar-dom ni kubwa kuliko gari wakati distance ni sawa
Kwani ndege inatumia Diesel au Petrol nikisema ghalama ni zile zile na matumizi yanayo fanana
 
Hivi sumatra hawajaliona hili, haiwezekan kwenye maji kukawa na bei kubwa sana mwendo wa saa 1.30 na Dom mwendo wa saa 9 mpka 10

Naomba kujuzwa tofauti yake au huwa wanaangalia nini, maana mafuta ni yale yale tu
Sababu kubwa ni gharama za manunuzi matengenezo na uendeshaji ziko juu ukifananisha na za nchi kavu
 
Back
Top Bottom