Jaman naomba kufahamishwa kuhusu credit card,hii Ni card ipi?, Pia kuna tofauti ipi kati ya Credit card na debit card? Na hizi zinafanya kazi vipi? ,Pia nikitaka kufanya online purchases natakiwa...
Wakuu kheri ya X-mass na mwaka mpya!.
Tukiwa katika ukingoni kabisa mwa mwaka huu 2018 na tukiwa tumebakiza siku moja tu kuanza mwaka mpya wa 2019,sote tunapaswa kumshukuru Mwenyezi Mungu.
Nakuja...
Mimi huamini watu wenye idea zinazofanana wakifanya kitu kinakuwa kikubwa sana. Ningependa member tuwe na sifa zifuatazo;
1. Asiamini katika kuajiriwa na kama ameajiriwa awe anaonyesha jitihada...
Habari,
Nawezaje kupata huduma ya fixed account ambayo Nita deposit kwa miamala ya simu kwa namna rahisi na salama?
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau nipeni maujuzi na utaalamu mwepesi kwa walio weledi katika mambo ya Bima.Nataka kuanzisha kampuni yangu ya Udalali wa Bima. Tayari ninakmapuni lakini haina line ya Bima lakini kwa sasa naona...
Natangaza vita na huyu adui popote pale nitakapomuona. Na nimejipanga kwelikweli! Nimejitathmini na kugundua sipendi kuona mtu yoyote akitaabika kwa umasikini. Ukiweza kuushinda umasikini, mambo...
Ndugu yangu anauliza kama kuna watanzania au wana East Africa ambao wanasafirisha mizigo toka Germany hadi Arusha, Tanzania. Anataka kusafirisha rims ambazo kwa usafiri wa kampuni kama DHL au...
Wakuu katika pita pita zangu mitandaon nimekutana na hili shirika la Hawa watu wanaoitwa Jamalife helpers global(JHG), wamenipa maelezo yao na namna wanavyofanya kazi , kikubwa wao wanahitaji...
Habarini ndugu jamaa na marafiki, nauza till m-pesa, tigo pesa, na airtel naziuza bei poa kabisa nichek kwanamba hii 0764660000, sipo whatsap kwahiyo unaweza kunipigia au kunitext
Sent using...
Wadau mimi nahitaji mashne ya kubett ila sijui jinsi ya kuipata.nataka nifanye biashara hyo.
Kwa sasa nipo dar ila nataka nikiipata niipeleke iende kupga kazi BUKOBA mjini.
Hiyo ni shirika la ndege la Qatar. Magufuli kwa akili zake ataanza kuwaza ruti za mbali wakati hizi za karibu anashindwa, Rwanda air walianza na east Africa,.
Yajayo ni Hasara tu.
Ninapongeza TRA Bukoba kwa kuhakikisha wafanya biashara Mjini humo siyo tu wanamiliki EFD bali wanatoa risiti za EFD kwa kila huduma inayotolewa.
Ukiingia mgahawani unakutana na EFD
Bar, Guest...
Hali ya sintofaha inayoendelea wilaya ya nachingwea ya kuhakiki mikorosho na wauza korosho
Mtu mmoja aliitwa siku ya jumatatu apeleke risiti zake zote alizouzia korosho alipofika ofisi ya mkuu wa...
Habari zenu
Nimeipitia hii thread na imenisaidia kuanzisha biashara kwa mtaji mdogo sana hasa kwa aaiye na uwezekano wa kuata mitaji mikubwa
Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa - JamiiForums...
Ujasiriamali ni shughuli inayohitaji ujasiri na uimara kiroho na kimwili. Kama unadhani kufanya biashara au Ujasiriamali ni shughuli yako ya pili au mbadala baada ya kukosa kazi unayoipenda basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.