Natafuta mwekezaji wa Beach Tanga

Eng Mose

JF-Expert Member
Jan 10, 2017
242
322
Salaam., natafuta mwekezaji wa kuwekeza chochote atakachoona kinafaa kulingana na eneo lilivyo.
Eneo lipo Tanga, Pangani karibu kabisa na beach, ni mita 100 kutoka baharini(mita za serikali na kisheria pia). Eneo lina ukubwa wa heka 6.5 lina mandhari nzuri., limepakana kabisa na mbuga ya Saadani pamoja na hotel yake. Lina hati zote na lipo kisheria. Nakaribisha yeyote kwaajili ya uwekezaji wowote kulingana na eneo.
Aliyepo tayari namkaribisha PM
 
Subiri mkuu mpaka jiwe aondoke.Tumefukia dollars zetu ardhini mana kwasasa ukiwekeza tu,jamaaa haoo wanaku Dewjy
 
Back
Top Bottom