Mlimani City Project | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlimani City Project

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Fundi Mchundo, Mar 25, 2008.

 1. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2008
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,697
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hivi kweli this is the best we can do hapo mlimani? Biashara tuijuao ni hii ya rejareja? Mimi ningetegemea wangeanzisha industrial parks na business centres zitakazoweza kutumia utaalamu uliojaa hapo mahali badala ya haya ma shopping mall. Kwa nini jitihada hazikufanyika kupageuza Technological centre si ya nchi yetu tu bali Afrika mashariki nzima? Kwa nini hatukufikiria kuwa tuwe another Silicon Valley? Yaani akili yetu yote ni hizi biashara uchwara? Ni kama vile kuwakuta maprofesa wakishindana kuanzisha biashara ya mabaa, salun na kufuga ng'ombe wa maziwa! Inakatisha tamaa.
  BTW, huyu mwekezaji ana lease ya miaka mingapi?
   
Loading...