Route ipi ya daladala inalipa kwa Moshi na Arusha

IsaacMruma

New Member
Sep 30, 2017
4
2
Habari zenu wapendwa,

Nahitaji ushauri hasa kwa wazoefu au wamiliki wa noah na hiece katika mkoa wa moshi na Arusha je ni root ipi nikiweka hoan au hice bas pesa itakuwa ya uhakika? Maana kuna root ambazo kwakweli ni hasara ila nimeona nitumie fursa hii yamkini nikapatana na watu wanaonufaika na root nzuri.

NAWASILISHA NAOMBEN MAONI NA USHAURI WENU,ASANTE.
 
Kwanza rekebisha: Hakuna mkoa wa Moshi. Kuna mkoa wa Kilimanjaro ambao ndani yake kunapatikana Wilaya ya Moshi. .Haya, tuwasubiri sasa Wataalamu wa hoja yako waje...!
 
Back
Top Bottom