Kwa uzoefu wangu wa kutumia amazon bidhaa nyingi nilizoagiza mtandaoni garama yake mpaka kunifikia imekuwa kubwa kwa zaidi ya 25% kuliko bei ambazo maduka ya hapa tz huuza.
Mfano unakuta Samsung...
Mimi ni mwananchi wa kawaida, lakini nimekuwa nafuatilia Vyanzo mbalimbali vya Mapato kwa Taifa letu.Tunaona Mbuga zetu zinavyokusanya, Madini yetu, Maliasili, Kilimo Anga n.k.lakini sijaona...
Viwanda Vidogo Majumbani – Mijini, Miji Midogo na Vijijini
Jinsi ya kuanzisha na kuendeleza viwanda vidogo-vidogo
Tokea miaka mingi viwanda vidogo-vidogo vimeonyesha umuhimu wa kusaidia ukuaji...
Nakumbuka niliwah kuleta thread nkiomba ushauri kuhusu kupanga....maana nilikuwa nafanya biashara stil nikiwa home maana ndo kwanza nilitoka chuo....sikuwa na ajira ndo nkaamua kujiajiri kwa...
wakuu habari zenu, nilikuwa napita mtandaoni ghafla nikakutana na huu mtandao Numista unatumika kuuza sarafu za mataifa mbalimbali hususani zile za miaka ya nyuma kidogo. Sasa binafsi nikakumbuka...
Kwanza nianze na shukrani kwa ndugu mkuu utakae jitoa kwa kunielekeza mawili ma3 jinsi ya kutuma kuweka na kuwatolea watu pesa... Ninaanza Airtel na tigo.
Kwa Sasa najishugulisha na salon yani...
Katika harakati za kujiajiri kuna mambo manne ambayo endapo yataweza kukutana kwa pamoja basi suala la kujiajiri na kukua kijasiriamali litakuwa kama baraka kwako. Mambo hayo ni:
a. Wazo sahihi...
Hii habari itakuwa ni mwiba kwa wale waliokuwa wanabeza ununuzi wa ndege kubwa ya Boeing 787 Dreamliner,pitia hii link Ndege kubwa zaidi ya abiria duniani kuacha kutengenezwa...
Sent using Jamii...
Kumekuwa na mafundisho mengi yanayosema ni vizuri kuandika busines plan kabla ya kuanza biashara/mradi,Lakin ukifuatilia kwa undani hakuna business plan hata moja ambayo huwa inaonesha kipindi cha...
ninauwezo mkubwa sana wa kutengeneza chai masala lakini nashindwa kuingiza sokoni kwa sababu ya viofungashio na elimu juu ya hii biashara na ukizingatia hii bidhaa ni bora sana na ni ya asili pia...
Wakuu nimetoka kuongea na Vodacom Naombeni wazoefu nisije tapeliwa na naambiwa nitumie simu nyingine nifuate maelekezo ili nitumiwe pesa nilizishinda
Nimestuka Maana laini yangu ni mpya Ina wiki...
Naitaji mawazo yenu ndugu nina kazi ya kuniingizia kipato kidogo sana ambacho hakiwezi kusongesha maisha ya mimi na familia yangu kisipo pata sapoti kutoka vyanzo vingine .......Nina kiasi cha...
Wadau sekta ya usafiri wa anga imeyumba kwa upande wa shirika la Singapore airline la nchini Singapore taarifa zinasema shirika ilo limendika anguko la faida ya kibiashara kwa kiwango cha asilimia...
Hivi leo wanawake wamekuwa mstari wa mbele katika kuwahi na kufanyia kazi fursa mbalimbali.
Fursa hizo ni pamoja na uwekezaji katika biashara ndogo na za kati. Ni dhahiri kuwa mama ndiye...
Habari wakuu.
Baada ya kufanya majaribio ya bidhaa mbalimbali, napenda kushare nanyi kitabu kinachofundisha jinsi ya kutengeneza bidhaa hizi mwenyewe bila mwalimu.
Kimekusanya bidhaa zaidi ya kumi...
Ivory coast bei ya korosho imetangazwa kuwa TS2580/=, tusisahau kuwa hiyo ndio nchi inayo lima zao nyingi la korosho duniani. Pia wamewarahisia sana ununuzi wadau
Hii ni athari kubwa sana kwa...
Licha ya kwamba Biashara ya Usafiri wa pikipiki maarufu kama Boda boda kuwa maarufu kote Afrika Mashariki. Visiwani Zanzibar imepigwa marufuku na inafanywa kinyume cha sheria.
Wale wanaojihusisha...
Wakuu salam,
Nahitaji kujenga vyumba vya kupangisha kwa watu walio single yaani chumba na sebule ndogo na choo cha ndani. Nahitaji vyumba vitatu, nitatumia matofali ya kuchoma, bati za kawaida na...
Jana nilibahati kakukaa wa wanazengo katika mitaa ya kati kujadili changamoto za kimaisha na hasa kwa wanaoishi mjini. Nimegundua kwamba maisha ni magumu kwa kila mtu sio mfanyakazi wala...