BIASHARA YA CHAI MASALA

AMO MTAFUTAJI

Member
Nov 26, 2017
15
45
ninauwezo mkubwa sana wa kutengeneza chai masala lakini nashindwa kuingiza sokoni kwa sababu ya viofungashio na elimu juu ya hii biashara na ukizingatia hii bidhaa ni bora sana na ni ya asili pia ni tiba juu ya magonjwa yafuatayo
1]HOMA YA MATUMBO
2]HOMA YAMANJANO
3]MAPIGO YA MOYO
4]HUONGEZA DAMU MWILINI
kwa sababu hyo nina kila sababu ya kuwaombeni msaada wenu kwa yeyote mwenye uelewa juu ya hvi vifunmgashio anitafute na anielimishe na hata kama utahitaji tufanye pamoja sio mbaya \
kwa mawasiliano ni
0756832924
0677765760
Email amossndalahwa@gmail.com
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom