Singapore Airline profit fall by 27%

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
2,685
2,000
Wadau sekta ya usafiri wa anga imeyumba kwa upande wa shirika la Singapore airline la nchini Singapore taarifa zinasema shirika ilo limendika anguko la faida ya kibiashara kwa kiwango cha asilimia 27 licha ya shirika ilo kuanza kutekeleza mpango mkakati wake wa kukiinua shirika ilo ndani ya miaka 2 sasa ikumbukwe shirika hili la SA ndio lilikuwa shirika la kwanza kuorder na kukabidhiwa ndege mpya aina ya Boeing 787-10 dreamliner ktk sekta ya usafiri wa anga . Bila shaka kufuatia taarifa izo za anguko la faida wataalamu wa uchumi huwa wanasema ni kawaida ktk biashara kuandika hasraaa.
 

guzman_

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,102
2,000
Sisi tunachukua kodi ca wananchi tunaweka kwenye shirika halafu tunatangaza kutengeneza faida.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom