Wiki ijayo naanza kazi ya wakala sijui na Sina ujuzi wakuu nipeni elimu humu ndani nisije kula mkenge

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,251
2,000
Kwanza nianze na shukrani kwa ndugu mkuu utakae jitoa kwa kunielekeza mawili ma3 jinsi ya kutuma kuweka na kuwatolea watu pesa... Ninaanza Airtel na tigo.

Kwa Sasa najishugulisha na salon yani nanyoa watu na mimi ndie mmiliki wa ofisi, kwa hivyo nimeona niongeze wigo wa mapato ili kujijenga kiuchumi nitafanyia kazi hapo hapo salon, nimemaliza chuo mwaka Jana level ya shahada Sina kiu ya kuajiriwa kwa Sasa nimeanza movement za ujasiriamali Toka nikiwa chuoni..

Mwisho kabisa nawakaribisha nielewesheni wakuu kijana mwenzenu ni chalii tu wa miaka 27.. Karibu. Mtandao ni tigo na Airtel money.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vipik2

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
2,270
2,000
Shirikiana nao Airtel na Tigo kwani wana kitengo cha kutoa elimu kwa mawakala wao
 
msondomba

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,326
2,000
Kwanza nianze na shukrani kwa ndugu mkuu utakae jitoa kwa kunielekeza mawili ma3 jinsi ya kutuma kuweka na kuwatolea watu pesa... Ninaanza Airtel na tigo.

Kwa Sasa najishugulisha na salon yani nanyoa watu na mimi ndie mmiliki wa ofisi, kwa hivyo nimeona niongeze wigo wa mapato ili kujijenga kiuchumi nitafanyia kazi hapo hapo salon, nimemaliza chuo mwaka Jana level ya shahada Sina kiu ya kuajiriwa kwa Sasa nimeanza movement za ujasiriamali Toka nikiwa chuoni..

Mwisho kabisa nawakaribisha nielewesheni wakuu kijana mwenzenu ni chalii tu wa miaka 27.. Karibu. Mtandao ni tigo na Airtel money.

Sent using Jamii Forums mobile app
VIP mke wako uliyemfumania bado unaye au ulimsamehe .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom