Mimi kama kijana nimefungua biashara yangu binafsi na nimeweza kupata fremu na sikosi vijisent japo mtaji wangu sio mkubwa sana ila nina dhamira ya kukuza biashara ata baadae nitoe fursa kwa...
Habar wana jf nataka kufanya biashara ya vocha za jumla sijajua utaratibu wake na faida yake km nitapat mtyu kwenye ujuzi na hii biashara akanielekeza itakuwa safii kwan atakuwa kanisaidia sanaa...
Kama bonde la Rusumo litazalisha Megawat 80 kwa gharama ya ujenzi ys dolla 400,000,000 je Megawati 2100 zitazalishwa kwa uwekezaji kiasi gani? Kwa hesabu za mlinganisho ni kuwa Rufiji inabidi...
Wakuu habari za Miangaiko,
Mabati yangu yameanza kupauka hivi na kuweka vitu vinavyoonekana kama kutu hivi. Nataka kupaka rangi hivyo naomba uzoefu na kujua rangi ya kampuni / aina gani hasa...
Habarini za leo ndugu zangu,
Sitaki kupoteza muda naenda moja kwa moja kwenye lengo,
Humu ndani kuna watu wenye shughuli mbalimbali wapo waliofanikiwa kupitia biashara,kilimo ajira n.k
Napenda...
Habari zenu!
Naombeni msaada wa namna ya kupata mkopo wa haraka sana wa kiasi cha mln 5 hadi 10
Mimi nafanya kazi katika mashirika binafsi kwa miaka 6 sasa. Na shirika hili tunapewa mikataba ya...
Leo nilikua na mlolongo mrefu nimeanza Tigo shop, Airtel shop, kisha TRA. Lengo nipate miongozo na hatua za kupata laini za wakala.
TRA sehemu ya mwisho kupita nimeambiwa kwanza nipate TIN...
Habari wadau nilikua nahitaji kumiliki bajaji nna miliin 2 naomba mkopo kwa makubaliano na riba tutakayoongea pia nna nyumba kama atataka iwe dhamana naomba kama kuna mtu binafi wa kunikopesha...
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa Serikali imedhamiria kwa dhati kukamilisha mradi mkubwa wa Reli kwa kiwango cha Kimataifa (SGR), ambapo tayari kiasi cha zaidi ya...
Habarini za asubuhi wadau,
Nipende kumshukuru MUNGU kwa kutupatia siku nyingine ya leo. Nilikua naomba msaada wa kujua hili jambo.
Natamani nifanye biashara ya mazao kupeleka nje ya nchi. Tatizo...
Serikali imekabidhi rasmi mkandarasi eneo kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa bwawa la kuzalisha umeme ‘’Stiegler’s Gorge’’. Hii inatoa njia kwa mkandarasi kuanza kazi rasmi ambayo itaongeza zaidi ya...
Wananbodi,
Nimekuja kivingine sababu wafanyakazi tunaonewa,kuna kitu kinaitwa BIMA tunashindwa kuelewa ni kitu gani sababu wanatukata fedha zetu halafu kutulipa inakuwa ni taabu sana,wanasema...
WAFANYABIASHARA wa mikoa ya Kanda ya Kaskazini wameonesha nia ya kuanza kutumia Bandari ya Tanga kupitisha shehena ya mizigo yao baada ya kuridhishwa na mabadiliko makubwa ya mfumo wa utendaji wa...
Sekta ya Utalii ilikuwa ni mchangiaji mkuu wa mapato ya fedha za kigeni kwa mwaka 2018 (Januari hadi Desemba 2018), Ripoti ya Benki ya Tanzania (BOT) imeelezea. Katika ripoti ya BOT ya mwezi kwa...
Kwa uzoefu wangu wa kutumia amazon bidhaa nyingi nilizoagiza mtandaoni garama yake mpaka kunifikia imekuwa kubwa kwa zaidi ya 25% kuliko bei ambazo maduka ya hapa tz huuza.
Mfano unakuta Samsung...
Mimi ni mwananchi wa kawaida, lakini nimekuwa nafuatilia Vyanzo mbalimbali vya Mapato kwa Taifa letu.Tunaona Mbuga zetu zinavyokusanya, Madini yetu, Maliasili, Kilimo Anga n.k.lakini sijaona...
Viwanda Vidogo Majumbani – Mijini, Miji Midogo na Vijijini
Jinsi ya kuanzisha na kuendeleza viwanda vidogo-vidogo
Tokea miaka mingi viwanda vidogo-vidogo vimeonyesha umuhimu wa kusaidia ukuaji...
Nakumbuka niliwah kuleta thread nkiomba ushauri kuhusu kupanga....maana nilikuwa nafanya biashara stil nikiwa home maana ndo kwanza nilitoka chuo....sikuwa na ajira ndo nkaamua kujiajiri kwa...