Kufanya biashara maana yake ni kutatua tatizo lililopo mahali na kufaidika kwa malipo. Sasa ndugu kama hakuna ma suppliers manake hiyo ndio fursa sasa, kuwa supplier na muuzaji ndio utateka biashara vizuri.Nataka kuuza mitungivya oxygen kwa ajili ya kuchomelea.. tatizo nime shindwa kuwapata ma supplier.. nipo mbeya
Sent from my iPhone using JamiiForums