Maji ya Kilimanjaro yamekata pumzi

Chimunguru

JF-Expert Member
May 3, 2009
10,583
2,000
Kuna mengine yameingia wanatoka Arusha! Kila duka la mchaga yapo yaani machalii wanayapenda balaa. Utasikia nipe maji ya .. wanamtaja jina mhusika. Chupa ni nyembaba ndefu chapa yake rangi ya blue kwa jero tu.
 
Ndalilo

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
1,166
2,000
Naona mawakala wa hill water mpo kazini
Bravo

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndugu, ukiusema ukweli, unamsaidia mmiliki kujua na kuchukua hatua...ITV waliwahi kuonesha kwenye habari ya saa mbili usiku; mchina anajaza maji kwenye chupa za kilimanjaro maeneo ya mburahati kama sikosei.....hayo yote yanaingia sokoni

Ukweli ni huo, yamekuwa ya hovyo sana.....na ni muda sasa tangu yapoteze ubora wake.
 
CHASHA FARMING

Verified Member
Jun 4, 2011
6,936
2,000
Maji haya Kwa sasa yamepoteza ubora hasa yanayopatikana Dar es salaam.

Yana chumvi na ukakasi, siyapendi.
Hakuba Kampuni yakuweza shindana na Kilimanjaro kwa hapaTanzania. Kilimanjaro ndo.kampuni pekee utakayo ipata nchi nzima,

Hayao mnayo yapigia debe usikute yako hapo Dar tu na sanasana Morogoro na Tanga. Ila Unashindana na Kilimanjaro inayo patikana Tarime, au Kibondo Kigoma au Kankonko mpakanao kabisa na Burundi au kule Katavi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
6,409
2,000
Hakuba Kampuni yakuweza shindana na Kilimanjaro kwa hapaTanzania. Kilimanjaro ndo.kampuni pekee utakayo ipata nchi nzima,

Hayao mnayo yapigia debe usikute yako hapo Dar tu na sanasana Morogoro na Tanga. Ila Unashindana na Kilimanjaro inayo patikana Tarime, au Kibondo Kigoma au Kankonko mpakanao kabisa na Burundi au kule Katavi

Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie mkuu, mimi niko huku Itirima sijawahi hata kusikia hayo maji mengine wanayoongelea.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom