Mambo ya madawa

philipo njovu

Senior Member
Dec 30, 2016
138
225
Mimi kama kijana nimefungua biashara yangu binafsi na nimeweza kupata fremu na sikosi vijisent japo mtaji wangu sio mkubwa sana ila nina dhamira ya kukuza biashara ata baadae nitoe fursa kwa vijana wenzangu.

Lakini ma mdogo alinifata akaniambia kuwa mwanangu jilinde, upate kinga ya biashara yako ila mimi nina moyo wa kujiamini ila naona wengi hujikinga.

Je, ni sawa kweli mimi kama kijana kuwa na imani hiyo?
 
teamsolution

Member
Jun 19, 2017
63
125
Ndugu, Habari

Dawa pekee ni ulinzi wa Mungu TU. Kwa nini nasema ivo? Nguvu ya Mungu ni zaidi ya nguvu za kichawi, majini, mizimu na Shetani. Ni kweli shetani na mawakala wake wanatoa nguvu lakini masherti yake na matokeo yake ni mabaya na ni kinyume na Mapenzi ya Mungu. Kwahiyo Ndugu, njoo kwa Munngu atalknda biashara yako na kila kitu chako.

Cha pili ni kwamba biashara ni mikakati ya akili ambazo Mungu ametupa kila mmoja. Mfano
1. uza bidhaa zinazo uzika (zenye mzunguko mkubwa)
2. Weka biashara yako sehemu sahii
3. Biashara yako na ijulikane (tangaza)
4.nk nk

Kiongozi kwa msaada zaidi na huduma zetu hapo chini, tupigie

HUENDA WAHITAJI...
* Kusajili kampuni
* Annual Retur - Brela
* Hesabu za Kodi, Hesabu za Kampuni,
*Kuandaa Memorandum....
* Kuandika Business Plan, Business Profile,
* Kuandaa Tender documents, CRB
*Kutengeneza LOGO, Business Cards, Brochures, Banners
* Printing - All types of Books
*Digital Printing: T-SHIRTS, CAPS, BAGS, PLATES, CUPS, etc.
TUPIGIE/ MESEJI - 0684 205039: WATSUP TU 0652 411402
BEI ZETU HAZINA USHINDANI, MIKOANI PIA TUNAHUDUMIA

Ushauri ni Bure...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
7,363
2,000
Ni

Ni kweli jilinde lakini sio kwa waganga; fanya hivi: hakikisha hufanyi biashara haramu, ukishafanya hivyo, piga sala ya kumwomba Mungu ulinzi wake, halafu mpe Mungu zaka yake. Nakwambia hapo dukani patalindwa kama White House.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom