Kama bonde la Rusumo litazalisha Megawat 80 kwa gharama ya ujenzi ys dolla 400,000,000 je Megawati 2100 zitazalishwa kwa uwekezaji kiasi gani? Kwa hesabu za mlinganisho ni kuwa Rufiji inabidi ijengwe kwa dolla 10,500,000,000. Kwanini Serikali inajenga mradi wa rufiji kwa dolla 2.9 Billion au2,900,000,000 ambazo ni cahache sane lakini ikakubali kujenga kwa pesa nying nyingi sana kwa mradi wa Rusumo?