falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,186
- 9,288
Mama kwa hakika serikali ya Tanzania haikukosea kuipa cheti cha ushindi kwa mabus ya Tahmeed. Sasa Tahmeed wamezidi kudhihirisha kuwa wataendelea kuwa vinara kwa vipindi vyote na kukosa mpinzani kwa kuleta mabus mapya aina ya zhongtong ambayo ndani yana muonekano kama ndege za boeing ,kwani hadi sasa ndio mabus pekee yenye siti za 2 by 1 mwanzo hadi mwisho wa bus. niliwahi kuwaahidi miezi minne nyuma kuwa watanzania wajiandae kwa ugeni huu mzito.
Tahmeed coach
your comfort
is our concern
Tahmeed coach
your comfort
is our concern