Msaada jinsi ya kupata mkopo wenye masharti nafuu.

thewajibu

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
240
250
Nawasalimu kutoka jinini Mwanza, Mwaka jana nimeingia kwenye biashara ya kukatakata magari haikuwa rahisi kwa sababu nilikuwa sijui chochote kuhusu magari na ukizingatia ni biashara inayohitaji uelewa mkubwa kiasi kampuni za magari lakini nimejitahidi kuisoma na kuielewa vizuri na baada ya kuielewa vizuri changamoto nyingine mpya inanikabili hasa ya mtaji maana nimefanikiwa kupata wateja wengi na bidhaa kuwa chache na hivyo nakosa pesa kwa sababu ya ufinyu wa mtaji. Je ni wapi naweza kupata angalau milioni moja na nusu kwa masharti nafuu ukizingatia sina kitu cha kuweka dhamana tofauti na vyeti vyangu tafadhari mwenye uzoefu na hili anisaidie

MAGA 2020
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom