baiser
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,456
- 2,179
Nataka niagize bidhaa china kuna mtu alinigusia Kua naweza agiza kwa kutumia hawa alibaba nimedownload app yao nakupitia pitia bidhaa ninazotaka nimeona bei ni rafiki kabsaa
Ila kitu ambacho sikijui ni kuhusu kodi ya hizo bidhaa baada ya kuagizaa zinakuwaje na pia gharama ya kusafirisha mzigo inakuwaje maana kiufupi sijajua inakuwaje mwenye uelewaa anipe somo nijitosee huko taratibu taratibu
Sent using Jamii Forums mobile app